Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Yeah, she always smiled jamani.
Mitandaoni wanadai hapa mwisho mwisho alionekana kuwa na Stress.
Lakini kamvumilia sana P. diddy huyu mwanamke aseh!
Sasa kule kucheka cheka yuko high mda wote!.... Yule itakuwa stress, maana Diddy malaya kuoa haoi anatotolesha tu mmama wa watu anaona anajizeekea tu home! Watoto wanaishi na babaake yy anaishi alone daah!

Hivi hakuwa hata na house girl? Mbona eti wamekuta nyumba tupu, yy kafa tu kitandani?
 
Yaani P. Diddy mwisho aseh.
Bad boy for life haswa!

Halafu couple yao na Kim ilipendeza kweli. Na wale watoto, such a beautiful family. Ungedhani ange settle na Kim lakini waala.
Lakini kama J.Lo alimshindwa, sijui nani wa kumtuliza wallah.

Hapo pa kufa mwenyewe home panaleta utata. Kuna mahala wanasema Police wanaangalia kama kuna signs za foul play.
Lakini sijui kwa nini aliishi mwenyewe?!
 
Kweli eti angesettle tu na Kim, naamini Kim alimpenda Diddy kwa mapenzi yote!

Unasikia tena jipya? Eti Didy kasacrifice![emoji15] [emoji15]....sacrifice ya kwanza ni Notorious, na pili ni huyu eti masharti....watu wa mtaani kwa Kim wanachonga balaa
 
Back
Top Bottom