Koh! Koh!..kawaida mkuu, tunarefresh sikuUpo vizuri kwa takwimu
Hahaha haya mkuu umenifurahisha tu ulivyokuwa unataja matukio hapo na umri kwa usahihi kabisa bila kukosea hata kidogoKoh! Koh!..kawaida mkuu, tunarefresh siku
....kama niko Hollywood vile[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahaha haya mkuu umenifurahisha tu ulivyokuwa unataja matukio hapo na umri kwa usahihi kabisa bila kukosea hata kidogo
Sio tu upo hollywood na unaishi nao mtaa mmoja kabisa yan maana sio kwa fact hzo mkuu[emoji2] [emoji2]....kama niko Hollywood vile[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hata mmimi WITNESS J ananifurahisha sana nikiona amEandika kitu lazima nicheke au nijjifunzeHahaha haya mkuu umenifurahisha tu ulivyokuwa unataja matukio hapo na umri kwa usahihi kabisa bila kukosea hata kidogo
Asante mkuu...[emoji120]Hata mmimi WITNESS J ananifurahisha sana nikiona amEandika kitu lazima nicheke au nijjifunze
Si ndio maana nimemwambia ukweli wala sijamficha. Ngojea na mie nianze kuandika vitu vya maana ucheke na ujifunze pia[emoji2] [emoji2]Hata mmimi WITNESS J ananifurahisha sana nikiona amEandika kitu lazima nicheke au nijjifunze
[emoji23] [emoji23] fursa!Si ndio maana nimemwambia ukweli wala sijamficha. Ngojea na mie nianze kuandika vitu vya maana ucheke na ujifunze pia[emoji2] [emoji2]
Acha basi [emoji1] [emoji1] inaitwa kutembelea nyota hyo[emoji23] [emoji23] fursa!
Nikiwa mkubwa nataka niwe hiviii jamani πππππ
Ndo mama ake mzazi .....Kuuliza si ujinga jamani....hivi huyo marehemu "Kim" ndio mama yake "King Combs"? Au King Combs anazaliwa na mwanamke mwingine?
Na wote tuseme amen...[emoji23]Nikiwa mkubwa nataka niwe hiviii jamani πππππ
AmenNa wote tuseme amen...[emoji23]
R.i.pMwanamitindo na Muigizaji wa filamu, Kim Porter, ambaye pia alikuwa ni mpenzi wa Mwanamuziki Sean Combs au Puff Daddy (P. Diddy), amefariki dunia nyumbani kwake usiku wa jana (Alhamisi) akiwa na umri wa miaka 47.
Porter na Diddy walifanikiwa kupata watoto watatu katika mahusiano yao yaliyodumu tangu 1994 na kuvunjika 2007. Mtoto wa kwanza akiwa ni Christian mwenye umri wa miaka 20 hivi sasa, na mabinti mapacha wawili wenye miaka 11.
Japo chanzo cha kifo chake hakijaelezwa bado, ila marehemu alikuwa akisumbuliwa na mafua makali yaliyoambanatana na pneumonia.
Mungu ailaze roho ya Kim Porter mahali pema peponi.
Amen!
View attachment 935800View attachment 935801
Yeah, she always smiled jamani.
Mitandaoni wanadai hapa mwisho mwisho alionekana kuwa na Stress.
Lakini kamvumilia sana P. diddy huyu mwanamke aseh!