Mpenzi wako akifanya kama hivi utamuuliza? Utaanzaje kumuuliza?

Mpenzi wako akifanya kama hivi utamuuliza? Utaanzaje kumuuliza?

Anajali huyo bana!.....tulia tu mwambie ndom naona zimeisha.
Then kesho yake unakuja na box, halafu unatumia nane usiku huo!!
 
nitaendelea kula tunda, haina makombo(haluwa).
wow!

mh, mwenzangu mi nitavaa nguo zangu na kutimua, siwezi nina wivu sana!
hehehehehe....

Nitamuuliza kwanza na hadi anipe majibu ya kueleweka lasivyo huduma itasitishwa kwa muda loh!
tobaaaaa...

Pape kumbe unazungumzia aliye-cheat ni mwanamke! maana kama aliye-cheat ni mkaka, mdada itaendaje doro?
no, hii inaweza kuwa kwa pande zote 2

Mh wadau njaa yote itaisha, sitakula huo msosi tena kitu lazima kinywee hapo
kweli mkuu!

Pape... kuna wakati nikisoma posts zako namkumbuka member mmoja humu ndani, yuko very controversial
mmmmmh, big brother! really?

Anajali huyo bana!.....tulia tu mwambie ndom naona zimeisha.
Then kesho yake unakuja na box, halafu unatumia nane usiku huo!!
what? 8?
 
Kula kwanza zigo,kisha baada mwambie THIS WAS MY LAST NANIHII with u.
Coz i was longing kufanya na wewe kavu kavu kwenye maisha ya ndoa lakini naona condoms zinazidi kupungua tu humu ndani.
Sasa let me leave othrs kuendelea

So polite......Nimeipenda
 
Du...! Atakuambia nilimsaidia mke wa kaka yako! Lakini kwani wewe umeamuaje hadi sasa? Kwangu mimi ni hadi ieleweke. Hizo hasira hazizuiliki, lazima zipande.
 
Kisa cha kuidhulumu nafsi yako? Si mnatumia kinga? cheza salama ukishamaliza ndo unauliza habari ikoje. Akikuletea zisizoeleweka unachapa lapa ilhali nafsi imeridhika ebo!

Duh MJ1 majibu yako huwa hayna papara ati🙂
 
condom huonyesha unajali ..kama angeenda kavu kavu na condoms zako ukazikuta ziko (well packed )3per pack ..............................................afya mgogoro ..+
 
Kwanza una uhakika gani kama kweli siku ya mwisho uliziacha zikiwa intakti kwenye pakiti? Je kama mliziwa na utamu mkaitumia na hiyo moja ila tu wewe umesahau?

Mambo mengine bwana presha za bure tu, yaani unaweza hata kukikimbia kivuli chako mwenyewe kisa unahisi ni kibaka anakunyemelea kukupora mkoba wako! Ukijiamini haya maisha ni rahisi sana!
 
sema weyeee yakhe!
 
Kwani hizo mbili zilizobaki hazikutoshi? 🙂
 
Naondoka bila kuaga, hakuna kuremba, maanake ukiuliza utaambiwa kuwa alikuja rafiki yangu ndie alitumia........shtuka
 
Ukirudi home mnunulie Enock kitabu cha Maths kama zawadi, tena cha additional Maths kabisa.

halaf, kakague kule juu

Duh - hapo RED umenikumbusha Additional Mathematics nikiwa Moshi Technical Secondary Skuli - Tulikuwa na mwalimu wa Kirusi (Grosher) - halafu Darasa la wanafunzi mia moja hivi wanaosoma Additional Math hawazidi kumi na tano!

Mimi kabatini kwangu kuna BOX zima ambalo hutatakiwi kuhesabu zimebaki ngapi - kila baada ya miezi miwili tunanunua lingine!
 
Mimi nitaitumia kondom moja na kumuachia moja alafu nitamwambia usisahau kutumia hiyo ili yobaki,kwaajili ya kunikinga mimi na yeye,pia nitamshukuru kwa kunijali kwa kutumia kondom!!
 
wacha kumshuku mpenzi wako maybe kuna rafiki aliomba moja ama ndugu yake akaiba.🙄

Sidhani kama anaiba atakuwa careless kiasi cha kukuachia evidence wewe.WOMEN ARE VERY BRIGHT😀
 
wacha kumshuku mpenzi wako maybe kuna rafiki aliomba moja ama ndugu yake akaiba.🙄

Sidhani kama anaiba atakuwa careless kiasi cha kukuachia evidence wewe.WOMEN ARE VERY BRIGHT😀
I agree kwenye red......lakini kama vile unatutusi wengine
Men are dumber au?
Hakuna u-smart kwenye kula tunda, wote wanacheza rough.....tena vidume ni hatari.
take it from me, na you will never understand this if you r a woman.
 
mi ningeshituka lkn ningemshukuru mungu kuona kuwa anajali kwa kutumia kinga.
hamu ya mapenzi ingenitoka lkn ningemuuliza inakuwaje zimepungua nimsikilize maana ukiisikiliza story unaanza kuwazia kuwa kucheat lkn anaweza kuwa alimgawia mtu.
 
Back
Top Bottom