Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Duu swali gumu sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa cha kuidhulumu nafsi yako? Si mnatumia kinga? cheza salama ukishamaliza ndo unauliza habari ikoje. Akikuletea zisizoeleweka unachapa lapa ilhali nafsi imeridhika ebo!
Swali lina Mtego hilo....Hivi una njaa na chakula unaiona hapo mezani si utakula kwanza ushibe baadae ndo unaanza kuhoji maswali😀
Hahaha sina uhakika sana cause nahisi hamu yote ya kuendelea na zoezi itapotea