Mpenzi wako akitaka kushiriki shindano la big brother utamruhusu?

Mpenzi wako akitaka kushiriki shindano la big brother utamruhusu?

Christafari

Senior Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
117
Reaction score
13
Swali 4 both side wadada na wakaka hivi MPENZI WAKO AKITAKA KUSHIRIKI SHINDANO LA BIG BROTHER UTAMRUHUSU?
 
Unadhani tinavyoishi huku uswahili ni less than Big brother? It's more than that.

La pili, mtu mzima aombe ruhusa kwa mtu mzima mwenzie kutimiza ndoto zake? Una utani, ni unapewa taarifa tu.
 
Hapana.Mimi kwangu si mpenzi tu hata wategemezi wangu siruhusu hata kuangalia shindano hilo.Big brother haina maadili kabisa kwani kumruhusu mtu akashiriki kule ni sawa na kumruhusu mtu akashiriki kufanya movie kwenye porn sites.Hawana maadili kabisa.Ukiangalia hata vijana wengi wanaoshiriki shindano hilo wanaonekana kukosa maadili mema kutoka kwa wazazi wao.

Wazazi wenye malezi mabovu ndiyo wanaruhusu watoto wao kushiriki maana tumekuwa tukishuhudia watu wanafanya ngono live.Mambo wanayefanya kule ni ya kishetani.

Mimi channel zote zinazoonyesha BBA nimeziblock na mwanafamilia wangu haruhusiwi kuiona.
 
''BBA inafundisha uhuni'' mara ooh sjui BBA haina maadili


sema kwako huna DStv bhana weee!
 
Umruhusu akachezee migegedo ya watu halafu mwenyewe unakenua meno?that's utahira I can't do it aking'ang'ania we better break up akatie aibu kama masogange

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi akirudi mikono mitupu ndo basi.
 
Nitamruhusu only if I want to dump her!!
 
Umruhusu akachezee migegedo ya watu halafu mwenyewe unakenua meno?that's utahira I can't do it aking'ang'ania we better break up akatie aibu kama masogange

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
vipi ndo yeye akaibuka na mamilioni?
 
Mbona richard yuko moshi na mke wake wa ndoa wanakula bata wkt alishawahi kutoka na tatiana wa bba na mke wake hajamuacha. . .
 
Unadhani tinavyoishi huku uswahili ni less than Big brother? It's more than that.

La pili, mtu mzima aombe ruhusa kwa mtu mzima mwenzie kutimiza ndoto zake? Una utani, ni unapewa taarifa tu.

Una akili sana konnie,si ndo mana Mamndenyi alivyoniaga anashiriki next bb show nikamwambia ahsante kwa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Binadamu mwenye akili timamu, Anayejitambua nafasi yake ktk Jamii. Hawezi kushirki upuuzi kama ule.

Ukiona anataka kushirki upuuzi kama ule, Ujue huyo hafai hata kwa Kitafunio.
 
Back
Top Bottom