Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Bidada flani hivi,,,, alikuwa miongoni mwa ninaowapigia hesabu ya kuwaoa,,,, ! Japo ni mtu alikuwa ana penda penda vihela ilihali ameajiriwa ,,,, ! Siku wakapata msiba nadhani wa mama mdogo kama sijakosea,,,, ! As a man nikampa nauli aende wilaya nyingine kuzika,,,, ! Kesho yake sms inaingia beb huku nimekuta ndg wote wameoganaiz tunavaa madela sare, naomba hela ninunue ni mm tu nimebaki ! Dah alinidisaapoint sana, nikasema hii familia ya kiswahili hapa hakuna mke,,,, ! Nikaanza kumuacha kidogo kidogo hatimae akaelewa somo
 
Kuna rafiki yangu anabadilisha wadada hatari nimemsema mno lkn hasikii but majibu yake yanamanaa,anasema Mimi msichana akiniomba tu hela tunaanchana hapohapo napenda nimpe bilakuniambia akianza tu story hizo nampa kisogo
 
Shamsa Ford πŸ˜…πŸ‘πŸ‘
We utakuwa nzuri sema unajiweka low key au kama sio hivyo basi una sifa nzuri za kuvutia ndio maana jamaa kapagawa kwako maana anaona kama akikupoteza itakuwa ngumu kupata mwanamke kama wewe au zaidi yako
 
Poleni wote kwa maswahibu mliyokutana nayo kwenye kipindi chenu cha Uchumba na mahusiano Kwa ujumla.

Ni vyema mmefanya hayo maamuzi mapema kuliko kuchelewa

Kuna msemo wa kiswahili unasema "dalili ya mvua, mawingu"

Better late than never....
 

Una jini kisirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…