Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati yako na shamsha Ford ( muigizaji) nani mzuri?Hamna kawaida sana labda uzuri upo machoni pake😅
Achana nae huyo,njoo PM ule mema ya nchi.Hapana sichati yani ni mwanaume ambae ana insecurity
Haamini kama naweza kutulia nae hana imani tu bila sababu za msingi
Amesema na wewe unapenda sana kulalamika kuhusu wanaume zakoWewe unapenda sana kulalamika kuhusu wanawake zako
Kuna rafiki yangu anabadilisha wadada hatari nimemsema mno lkn hasikii but majibu yake yanamanaa,anasema Mimi msichana akiniomba tu hela tunaanchana hapohapo napenda nimpe bilakuniambia akianza tu story hizo nampa kisogoHabari za weekend!
Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.
Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"
Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.
Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.
Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.
Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,
Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
Shamsa Ford 😅👐👐Kati yako na shamsha Ford ( muigizaji) nani mzuri?
Una bifu na mshamba_hachekwi ?Amesema na wewe unapenda sana kulalamika kuhusu wanaume zako
We utakuwa nzuri sema unajiweka low key au kama sio hivyo basi una sifa nzuri za kuvutia ndio maana jamaa kapagawa kwako maana anaona kama akikupoteza itakuwa ngumu kupata mwanamke kama wewe au zaidi yakoShamsa Ford 😅👐👐
Nyingine zote porojo tatizo liko hapa kwenye shida zake zako na shida zako zakoMimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu",
Tupo kwenywe uchumba zaidi ya mwaka mmoja na kila siku tunapanga mipango.. Kuna siku aliniuliza hivi baby una mpango gani namimi!?
Nikamuuliza kwamba wewe ndio special sana au kwanini uskilize una mpango gani na mahusiano yetu..akanuna ni nikamblock nikatafute bebe mwingine mtaani yeye amebaki kuomba msamaha kila siku
Kama unayo nakulipia mahari hata sasa hivi! Njoo pm tuyajenge! Baby NimahUtainunua kwa bei ya ndoa
😅😅😅Aliponiambia atakae nioa atafaidi nilivaa chupi haraka haraka nikaondoka
Halafu mimi nawambiaga sana mademu.Aliponiambia atakae nioa atafaidi nilivaa chupi haraka haraka nikaondoka