Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Wallah sijaajiriwa
 
Ikabidi utoke kuwa Hardbody hadi Soft soul 😀 😀
Pole sana mkuu.
 
We utakuwa nzuri sema unajiweka low key au kama sio hivyo basi una sifa nzuri za kuvutia ndio maana jamaa kapagawa kwako maana anaona kama akikupoteza itakuwa ngumu kupata mwanamke kama wewe au zaidi yako
Basi tu labda mshamba wa mapenzi au ndo uzuri wangu upo kwenye macho yake au marafiki wana mpump kuwa ameopoa
 
Duh wewe una gubu😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…