sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
At least wawili, kisha unapiga ana ana dooKwani tunakuwaga kuanzia wangapi huko kwenye hesabu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At least wawili, kisha unapiga ana ana dooKwani tunakuwaga kuanzia wangapi huko kwenye hesabu😂
😀😀😀kwanini ulimuacha muwekezaji mkuu?Alikua ana beti mpaka ligi ya China na anampiga muhindi kila akibeti,na wachezaji wa ligi ya China anawajua kwa majina.
Ntumie ka foto DM nithaminisheHamna kawaida sana labda uzuri upo machoni pake😅
Basi bikra ya nyuma huna si bureKitu Brand new 👌
Kumbe ulikua umeivua? 😀 😀Aliponiambia atakae nioa atafaidi nilivaa chupi haraka haraka nikaondoka
😂😂😂DahAt least wawili, kisha unapiga ana ana doo
Wallah sijaajiriwaWadada wa hivi wananishangazaga kweli, unakuta mdada ameajiriwa, mshahara mnalingana, ila mizinga anayokupiga utafikiri ni jobless, imagine na kwa tabia hizo anategemea kuolewa na wewe wewe anaekupiga mizinga na unakuta kiumri anakaribia 3rd floor au yupo 3rd floor, kimuonekano ni mzuri, shape anayo ila hana mahusiano ya kueleweka.
Sometimes kudate na mdada ambae hana kazi kabisa is cheaper, mwanaume unajua kabisa, my girlfriend hana chanzo cha kipato, umhudumie uwezavyo, kuliko hawa wadada walioajiriwa. kitalembwa binti kiziwi princess ariana happyxxx scolastika
Ikabidi utoke kuwa Hardbody hadi Soft soul 😀 😀Kuna mwanamke bhana ni mke wa mtu ila waliachana so akawa single maza. Nikaja kutana nae tukaanzq mahusiano nikawa nampa hela ndogo ndogo ef 30,50 zangu kazila nyingi tu. Kuna kipindi hadi nikampa 100k alipo nililia kuhusu shida yake flani. Ajabu ni kwamba nilipo Sogea karibu naye ambapo ndio ilikuwa mda mzuri ata wa kusuuza rungu kwa mara ya kwanza (wkt tunakutana nilikuwa mkoani) matukio yakaanza sasa.
Tukio la kwanza akaniambia J naomba tuachane naona siko sawa kuna mambo yananichanganya. Nikamuuliza mambo gani hayo na mbona gafla hivo majibu yakawa hayaeleweki ila akasimamia msimamo wake tu kuwa nimuache hayuko sawa kwa sasa na kwamba pindi akiwa sawa atanitafuta yeye mwenyewe 😂😂
Baada ya kuchunguza nikagundua kumbe amerudiana na mtu wake bhana dah niliumia sanaa... Sasa ikabidi nimchane ukweli kwa kumwandikia msg maana cm zangu alikuwa hapokei tena. Sasa baada ya kuisoma ile msg ndio akaanza kupokea cm zangu tena na hapo sasa ikabidi anichane live bila chenga kwamba kama niko tayari kushea na mtu wake basi fine ila kama sipo tayari nipite kushoto 😂😂 NB:- kumbuka hapo hata mzigo sijaonja ndugu msomaji na plan ilikuwa kumuweka ndani kabisa la haulaaa....
Itaendelea...
Basi tu labda mshamba wa mapenzi au ndo uzuri wangu upo kwenye macho yake au marafiki wana mpump kuwa ameopoaWe utakuwa nzuri sema unajiweka low key au kama sio hivyo basi una sifa nzuri za kuvutia ndio maana jamaa kapagawa kwako maana anaona kama akikupoteza itakuwa ngumu kupata mwanamke kama wewe au zaidi yako
Wengi saana?? Mbona umeshtuka😂😂😂Dah
Duh wewe una gubu😀Binti wa kwanza alishinda kupika dagaa vizuri , nilijua kwa huyu nitakufa na njaa au nitakula chakula sio kitamu
Binti wa pili. Nilimpatia laki moja , bila ya kumuelekeza matumizi , nilivokuja kumuuliza ameitumiaje? Vyote alivyonunua havikua vya msingi kwa upande wangu hata kwake pia niliona hili ni dish litaharibu mambo mengi mbeleni
Yaan Sisi tunatafuta anayekula hivyo wewe unamkimbiaDemu alikula kuku mzima,,,nikzpata hofu sana na maswali mengi....nikaogopa sana.
Inshort some boys tunakuwa na array(), nacheza kamali,😀😀😀Maana nimeogopa
Wengine hatuna maana hatuwezi kuhudumia watu wengi... Na watu kama sisi waaminifu tumebakia wachache sana😀😀😀Maana nimeogopa
Mkuu,nilipata hofu tukiwa na watoto wawil tuu..inabidi ninunue kuku wawili.Yaan Sisi tunatafuta anayekula hivyo wewe unamkimbia
Halafu hii hali wakina dada hawajifunzi kabisaKitendo cha kuniomba pesa ni kosa kubwa sana, yaani hata blue tick atakuwa hapati tena kumbavu zake