Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tafuta hela uache makasiriko
 
Aisee
 
Chai
 
Alikuwa hakupendi huyo.
 
Vizuri sana ila kumlipa mshahara utafanya ateseke sana siku mkiachana
 
Mwingine nilimtambulisha kwa ndugu yangu wa kike kumbe huku nyuma akaanza kufanya mipango ya kulala nae, nilipogundua nikaona hamna kitu hapa. Mwanaume anataka kulala na kila mwanamke anaemuona. Nikajiondokea.
Duh basi kwenu nyie wazuri...nipe basi huyo ndugu yako maana wee hunitaki
 
Bora nibaki singo wewe huwezi kuwa mume wangu, nina uhakika sitamaliza mwaka nitakufa kwa stress 😂
Kha yaani unachisema ni kwamba tukibakia sie wawili hapa duniani ni bora utamu apate ndizi na sio mzabzab 😭😭😭😭😭
 
😂 Hutamuweza, anapenda hela kuliko kula na hivi umefilisika.
Huyo mtamu sasa...wanawake kama hao u awatengea budget ya mil2 u amkula alafu huyoooo ndukiiiii🤣🤣🤣
Tena kwa kuwa anape da hela huyo definately ni mzuri kinomaaa. Najua tako titi na sura vyote vipo.
Nipe basi namba yake besty...ujue mwenzio daktari wangu kaniambia nina miaka miwili tuu ya kuishi kuanzia sasa...hivyo basi hizi mil 243 inabidi zitumbuliwe kabla sijafa
 
Wa kwanza katika story za hapa na pale akaniambia eti my last bf alikuwa ana isingizia kuwa nacheat basi mie nikaamua kucheat kabisa....nikaona hapa balaaa. Mwanamke anashindana na mwanaume huyo kiboko

Wapili single maza tunadinyana vizuri kweli na anajua kabisa kugegedana yule mwanamke. Katika maongezi ananiambia oh mie mwanaume wakunioa lazima ampende mtoto wangu kuliko mie. Nyooo! Mie nimekupenda wewe mambo yakumpe da mtoto wako yanatokea wapi. Bora ata angeluwa wa kike sawa naweza sema natakula kuku na kifaranga chake.

Watatu aliniomba ni.kopeshe laki 7, mie nikasema hiyo hela siwezi sanasana naweza kukupa laki2.
Maajabu sasa, sii jioni naona status yake anasema better to cry in a Mercedes benz than on a boda boda. Nikajua tayari mzabza hapa huna chako.
 
ALikuwa na fenobarbital 100 mg jikoni kwangu.
aliniambia ni dawa ya Juice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…