Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

1-- Alikua analazimisha sana aache vitu vyake geto, akija na kichupi akikifua anakiacha geto, mara aje atake kuvaa na kuondoka na t shirt zangu, huyu huyu alikua analazimisha kutokutumia kinga , ukimuuliza vipi kuhusu mimba, anasema yupo tayari kwa lolote, . nikasema huyu anatafuta pakufia uyu.

2-- Mtu wa starehe sana, club na bar za live bendi, mara 4 aliwahi niambua twende wote nikamchomolea mm sio mtu za izo mambo kabisa, last time aliniambie twende nikagoma, akasema anaenda na rafiki zake, nikasema sawa, asubuh ananipigia simu ananiuliza upo wapi nikamwambia nipo natoka town, Posta to Mkolani wale wa mwanza wanajua ilo route ananiambia nmechoka sana nmeshindwa hata kuamka em pitia chips na matunda umipitishie aiseee nilitukana tusi moja, Kumanyoko wewe, nikaablock kabs maana kama ni demu la club lingenimiminia matusi sana, 😀. Fala ilo demu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilikua kwenye kagari kangu mwenyewe ka kwanza, nimempakia tunaenda kuenjoy weekend, kwenye foleni pembeni ilikuja evoque nyeupe, akaiangalia kinoma alafu nikasikia anasema ".. hii ndio gari sasa..."

Alinichanganya sana nikajikuta nimepandwa na hasira nilimuangalia kinoma alafu sikumwambia chochote Ila moyoni nikasema wewe hutakuja kuwa mke wangu kamweee. Toka siku hiyo nikapunguza uhusiano nae nikampotezea
Tafuta hela uache makasiriko
 
Kuna ile mwanamke anakuja kwenye maisha yako kwa kufosi mwsho wa siku unaamua kukaa nae gheto anakuwa mke,unashangaa siku umepinda labda unajisemesha kwake unamwambia nina magumu hata sjui nitafanyaje lakin ajabu anakujibu kuwa " kwani ulilazimishwa kuoa,mwanaume pambana" sasa unawaza kuwa keshasahau kuwa alikuja kwenye maisha yako kwa kung'ang'ania
Aisee
 
Nakumbuka kuna demu nilikuwa nampenda sana yani sana nani mtumishi wa umma sasa siku iyo wakawa na sherehe ya officen nje ya mji kidogo kwenye hotel za kitalii... sa4 usiku kanipigia naomba nifate babe maana hapa bado watu wanalewa na magari ya office hayawezi kumrudisha yeye tu, nikaweka mafuta ya laki maana gari yangu ni kubwa kidogo discovery... namfata mpaka sa5 na nusu nikawa nimemfikisha kwake ila mama ake alikuwa kaja kumtembelea... nikamshusha nikaondoka ila mama ake alikuja kufungua geti akaniona kidogo akafunga geti....... baada ya siku2 nikaonana na babe akaniambia unajua mama ako amesemaje kasema huyo mwanaume atakuja kukuletea matatizo huko officen kwako😂😂😂 kwanza huyo atakuwa mume wa mtu maneno kibao walahi😂😂😂😂 hii ilinikata sana nikaisi ni aina ya gari ninayotumia kahisi hii gari ya mbaba hii maana mimi hata hakuniona lakini katoa shombo zakiwaki alafu nikajilaumu kinoma kumfata yule mtoto.
Chai
 
ME NILITONGOZA DEMU SIKU HIYOHIYO NIKAKUBALIWA JION NIKATUMIWA NAMBA YA RUKU NINUNUE UMEME NIKANUNUA WA TEN NIKATUMA KESHO YAKE MCHANA NIKAOMBWA HELA YA GESI IMEISHA NIKAAMUA KULA UNYOYA NIKAPITA IV 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Alikuwa hakupendi huyo.
 
Mke wa ukweli ni bahati, kwa kweli huyu niliye naye Mungu anibariki tu nizeeke naye. Ni mpambanaji mno na very caring indeed, najikuta kwa raha zilizonazo juu yake namlipa mshahara kila mwezi kwa kuwa tu mke wangu na kumshukuru kuzaa watoto tulionao. Thank you Mungu, ni haya tu jamani na samahani kama nimewaudhi. Mwenzenu niko kwenye furaha ya hajabu na mke wangu.
Vizuri sana ila kumlipa mshahara utafanya ateseke sana siku mkiachana
 
Mwingine nilimtambulisha kwa ndugu yangu wa kike kumbe huku nyuma akaanza kufanya mipango ya kulala nae, nilipogundua nikaona hamna kitu hapa. Mwanaume anataka kulala na kila mwanamke anaemuona. Nikajiondokea.
Duh basi kwenu nyie wazuri...nipe basi huyo ndugu yako maana wee hunitaki
 
Bora nibaki singo wewe huwezi kuwa mume wangu, nina uhakika sitamaliza mwaka nitakufa kwa stress 😂
Kha yaani unachisema ni kwamba tukibakia sie wawili hapa duniani ni bora utamu apate ndizi na sio mzabzab 😭😭😭😭😭
 
😂 Hutamuweza, anapenda hela kuliko kula na hivi umefilisika.
Huyo mtamu sasa...wanawake kama hao u awatengea budget ya mil2 u amkula alafu huyoooo ndukiiiii🤣🤣🤣
Tena kwa kuwa anape da hela huyo definately ni mzuri kinomaaa. Najua tako titi na sura vyote vipo.
Nipe basi namba yake besty...ujue mwenzio daktari wangu kaniambia nina miaka miwili tuu ya kuishi kuanzia sasa...hivyo basi hizi mil 243 inabidi zitumbuliwe kabla sijafa
 
Wa kwanza katika story za hapa na pale akaniambia eti my last bf alikuwa ana isingizia kuwa nacheat basi mie nikaamua kucheat kabisa....nikaona hapa balaaa. Mwanamke anashindana na mwanaume huyo kiboko

Wapili single maza tunadinyana vizuri kweli na anajua kabisa kugegedana yule mwanamke. Katika maongezi ananiambia oh mie mwanaume wakunioa lazima ampende mtoto wangu kuliko mie. Nyooo! Mie nimekupenda wewe mambo yakumpe da mtoto wako yanatokea wapi. Bora ata angeluwa wa kike sawa naweza sema natakula kuku na kifaranga chake.

Watatu aliniomba ni.kopeshe laki 7, mie nikasema hiyo hela siwezi sanasana naweza kukupa laki2.
Maajabu sasa, sii jioni naona status yake anasema better to cry in a Mercedes benz than on a boda boda. Nikajua tayari mzabza hapa huna chako.
 
ALikuwa na fenobarbital 100 mg jikoni kwangu.
aliniambia ni dawa ya Juice.
 
Back
Top Bottom