To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Uongokugegeda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongokugegeda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣1-- Alikua analazimisha sana aache vitu vyake geto, akija na kichupi akikifua anakiacha geto, mara aje atake kuvaa na kuondoka na t shirt zangu, huyu huyu alikua analazimisha kutokutumia kinga , ukimuuliza vipi kuhusu mimba, anasema yupo tayari kwa lolote, . nikasema huyu anatafuta pakufia uyu.
2-- Mtu wa starehe sana, club na bar za live bendi, mara 4 aliwahi niambua twende wote nikamchomolea mm sio mtu za izo mambo kabisa, last time aliniambie twende nikagoma, akasema anaenda na rafiki zake, nikasema sawa, asubuh ananipigia simu ananiuliza upo wapi nikamwambia nipo natoka town, Posta to Mkolani wale wa mwanza wanajua ilo route ananiambia nmechoka sana nmeshindwa hata kuamka em pitia chips na matunda umipitishie aiseee nilitukana tusi moja, Kumanyoko wewe, nikaablock kabs maana kama ni demu la club lingenimiminia matusi sana, 😀. Fala ilo demu
Tafuta hela uache makasirikoNilikua kwenye kagari kangu mwenyewe ka kwanza, nimempakia tunaenda kuenjoy weekend, kwenye foleni pembeni ilikuja evoque nyeupe, akaiangalia kinoma alafu nikasikia anasema ".. hii ndio gari sasa..."
Alinichanganya sana nikajikuta nimepandwa na hasira nilimuangalia kinoma alafu sikumwambia chochote Ila moyoni nikasema wewe hutakuja kuwa mke wangu kamweee. Toka siku hiyo nikapunguza uhusiano nae nikampotezea
AiseeKuna ile mwanamke anakuja kwenye maisha yako kwa kufosi mwsho wa siku unaamua kukaa nae gheto anakuwa mke,unashangaa siku umepinda labda unajisemesha kwake unamwambia nina magumu hata sjui nitafanyaje lakin ajabu anakujibu kuwa " kwani ulilazimishwa kuoa,mwanaume pambana" sasa unawaza kuwa keshasahau kuwa alikuja kwenye maisha yako kwa kung'ang'ania
ChaiNakumbuka kuna demu nilikuwa nampenda sana yani sana nani mtumishi wa umma sasa siku iyo wakawa na sherehe ya officen nje ya mji kidogo kwenye hotel za kitalii... sa4 usiku kanipigia naomba nifate babe maana hapa bado watu wanalewa na magari ya office hayawezi kumrudisha yeye tu, nikaweka mafuta ya laki maana gari yangu ni kubwa kidogo discovery... namfata mpaka sa5 na nusu nikawa nimemfikisha kwake ila mama ake alikuwa kaja kumtembelea... nikamshusha nikaondoka ila mama ake alikuja kufungua geti akaniona kidogo akafunga geti....... baada ya siku2 nikaonana na babe akaniambia unajua mama ako amesemaje kasema huyo mwanaume atakuja kukuletea matatizo huko officen kwako😂😂😂 kwanza huyo atakuwa mume wa mtu maneno kibao walahi😂😂😂😂 hii ilinikata sana nikaisi ni aina ya gari ninayotumia kahisi hii gari ya mbaba hii maana mimi hata hakuniona lakini katoa shombo zakiwaki alafu nikajilaumu kinoma kumfata yule mtoto.
Alikuwa hakupendi huyo.ME NILITONGOZA DEMU SIKU HIYOHIYO NIKAKUBALIWA JION NIKATUMIWA NAMBA YA RUKU NINUNUE UMEME NIKANUNUA WA TEN NIKATUMA KESHO YAKE MCHANA NIKAOMBWA HELA YA GESI IMEISHA NIKAAMUA KULA UNYOYA NIKAPITA IV 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanangu dem alikuwa anakunywa bia yule sijaona..
yaani unaona kama hapa nawaolewa walevi sasa ya nini yote hayo..
Vizuri sana ila kumlipa mshahara utafanya ateseke sana siku mkiachanaMke wa ukweli ni bahati, kwa kweli huyu niliye naye Mungu anibariki tu nizeeke naye. Ni mpambanaji mno na very caring indeed, najikuta kwa raha zilizonazo juu yake namlipa mshahara kila mwezi kwa kuwa tu mke wangu na kumshukuru kuzaa watoto tulionao. Thank you Mungu, ni haya tu jamani na samahani kama nimewaudhi. Mwenzenu niko kwenye furaha ya hajabu na mke wangu.
Duh basi kwenu nyie wazuri...nipe basi huyo ndugu yako maana wee hunitakiMwingine nilimtambulisha kwa ndugu yangu wa kike kumbe huku nyuma akaanza kufanya mipango ya kulala nae, nilipogundua nikaona hamna kitu hapa. Mwanaume anataka kulala na kila mwanamke anaemuona. Nikajiondokea.
Aisee90% ya men waliokoment hp wanaumwa ugonjwa wa kisirani wala wanawake awakuwa tatzo mmesawaidia hao wadada jamn kuolewa na bwana mwenye kisirani bora ufe single
Kugegeda uondoa stress nakwambia....nyie wenyewe mashuhusda.. msipo gegedwa basi ni kisirani tuu cha genyeUongo
Kha yaani unachisema ni kwamba tukibakia sie wawili hapa duniani ni bora utamu apate ndizi na sio mzabzab 😭😭😭😭😭Bora nibaki singo wewe huwezi kuwa mume wangu, nina uhakika sitamaliza mwaka nitakufa kwa stress 😂
Bado atasema hadi alipookota manzi kikojozi....Wewe unapenda sana kulalamika kuhusu wanawake zako
😂 Hutamuweza, anapenda hela kuliko kula na hivi umefilisika.Duh basi kwenu nyie wazuri...nipe basi huyo ndugu yako maana wee hunitaki
🤣🤣🤣Kugegeda uondoa stress nakwambia....nyie wenyewe mashuhusda.. msipo gegedwa basi ni kisirani tuu cha genye
Huyo mtamu sasa...wanawake kama hao u awatengea budget ya mil2 u amkula alafu huyoooo ndukiiiii🤣🤣🤣😂 Hutamuweza, anapenda hela kuliko kula na hivi umefilisika.
Shemeji muhuni Sana🤣😂Hapa kuna ten lina zagaa zagaa.