Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Nakumbuka kuna demu nilikuwa nampenda sana yani sana nani mtumishi wa umma sasa siku iyo wakawa na sherehe ya officen nje ya mji kidogo kwenye hotel za kitalii... sa4 usiku kanipigia naomba nifate babe maana hapa bado watu wanalewa na magari ya office hayawezi kumrudisha yeye tu, nikaweka mafuta ya laki maana gari yangu ni kubwa kidogo discovery... namfata mpaka sa5 na nusu nikawa nimemfikisha kwake ila mama ake alikuwa kaja kumtembelea... nikamshusha nikaondoka ila mama ake alikuja kufungua geti akaniona kidogo akafunga geti....... baada ya siku2 nikaonana na babe akaniambia unajua mama ako amesemaje kasema huyo mwanaume atakuja kukuletea matatizo huko officen kwakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanza huyo atakuwa mume wa mtu maneno kibao walahiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ilinikata sana nikaisi ni aina ya gari ninayotumia kahisi hii gari ya mbaba hii maana mimi hata hakuniona lakini katoa shombo zakiwaki alafu nikajilaumu kinoma kumfata yule mtoto.
 
Mke wa ukweli ni bahati, kwa kweli huyu niliye naye Mungu anibariki tu nizeeke naye. Ni mpambanaji mno na very caring indeed, najikuta kwa raha zilizonazo juu yake namlipa mshahara kila mwezi kwa kuwa tu mke wangu na kumshukuru kuzaa watoto tulionao. Thank you Mungu, ni haya tu jamani na samahani kama nimewaudhi. Mwenzenu niko kwenye furaha ya hajabu na mke wangu.
 
 
ME NILITONGOZA DEMU SIKU HIYOHIYO NIKAKUBALIWA JION NIKATUMIWA NAMBA YA RUKU NINUNUE UMEME NIKANUNUA WA TEN NIKATUMA KESHO YAKE MCHANA NIKAOMBWA HELA YA GESI IMEISHA NIKAAMUA KULA UNYOYA NIKAPITA IV πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Dah Ile mbuzi inajuta tulianza biashara akawa anapata pesa mtaji unakuwa akaanza kuniringia mbahili ujuaji nikaona hapa hapanifai nikakimbia miezi miwili pesa Hana anataka kurudi nikahama na mji
 
Mungu Aendelee Kuwabariki..
Muwe na Mwisho Mwema.

It is not how you start,
it's how you finish....
 
Mwanangu dem alikuwa anakunywa bia yule sijaona..
yaani unaona kama hapa nawaolewa walevi sasa ya nini yote hayo..
 
Ulikosea Sana Kupunguza Speed Yako.
Yeye akawa na speed kubwa akapitiliza.πŸ˜‚
 
Huyo hafai kuwa mke
 
Hongera Sana kijana
 
Hapo Kosa lake lilikua nini chief?
 
Aliniletea madeli ya unga na la sukari yakiwa empty afu anatabasamu wakati huo mimi sina kitu,nikawaza kumbe anafurahia mimi nikiwa na magumu

Nilikimbia nikamwachia gheto
Unafuliaje hadi unakosa msosi ndani afsa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…