Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Bora hata usingekuja kuchafua page hii.Long story short am single braza hizi mambo za bebe sijui darling tunawaachia nyie
Sie tunatafuta hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata usingekuja kuchafua page hii.Long story short am single braza hizi mambo za bebe sijui darling tunawaachia nyie
Sie tunatafuta hela
Nakumbuka kuna demu nilikuwa nampenda sana yani sana nani mtumishi wa umma sasa siku iyo wakawa na sherehe ya officen nje ya mji kidogo kwenye hotel za kitalii... sa4 usiku kanipigia naomba nifate babe maana hapa bado watu wanalewa na magari ya office hayawezi kumrudisha yeye tu, nikaweka mafuta ya laki maana gari yangu ni kubwa kidogo discovery... namfata mpaka sa5 na nusu nikawa nimemfikisha kwake ila mama ake alikuwa kaja kumtembelea... nikamshusha nikaondoka ila mama ake alikuja kufungua geti akaniona kidogo akafunga geti....... baada ya siku2 nikaonana na babe akaniambia unajua mama ako amesemaje kasema huyo mwanaume atakuja kukuletea matatizo huko officen kwako😂😂😂 kwanza huyo atakuwa mume wa mtu maneno kibao walahi😂😂😂😂 hii ilinikata sana nikaisi ni aina ya gari ninayotumia kahisi hii gari ya mbaba hii maana mimi hata hakuniona lakini katoa shombo zakiwaki alafu nikajilaumu kinoma kumfata yule mtoto.Habari za weekend!
Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.
Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"
Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.
Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.
Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.
Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,
Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
🤣🤣🤣Aliomba buku ya vocha
Habari za weekend!

Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke,
ME NILITONGOZA DEMU SIKU HIYOHIYO NIKAKUBALIWA JION NIKATUMIWA NAMBA YA RUKU NINUNUE UMEME NIKANUNUA WA TEN NIKATUMA KESHO YAKE MCHANA NIKAOMBWA HELA YA GESI IMEISHA NIKASEMA NIKAAMUA KULA UNYOYA NIKAPITA IV 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Nakumbuka kuna demu nilikuwa nampenda sana yani sana nani mtumishi wa umma sasa siku iyo wakawa na sherehe ya officen nje ya mji kidogo kwenye hotel za kitalii... sa4 usiku kanipigia naomba nifate babe maana hapa bado watu wanalewa na magari ya office hayawezi kumrudisha yeye tu, nikaweka mafuta ya laki maana gari yangu ni kubwa kidogo discovery... namfata mpaka sa5 na nusu nikawa nimemfikisha kwake ila mama ake alikuwa kaja kumtembelea... nikamshusha nikaondoka ila mama ake alikuja kufungua geti akaniona kidogo akafunga geti....... baada ya siku2 nikaonana na babe akaniambia unajua mama ako amesemaje kasema huyo mwanaume atakuja kukuletea matatizo huko officen kwako😂😂😂 kwanza huyo atakuwa mume wa mtu maneno kibao walahi😂😂😂😂 hii ilinikata sana nikaisi ni aina ya gari ninayotumia kahisi hii gari ya mbaba hii maana mimi hata hakuniona lakini katoa shombo zakiwaki alafu nikajilaumu kinoma kumfata yule mtoto.
Mungu Aendelee Kuwabariki..Mke wa ukweli ni bahati, kwa kweli huyu niliye naye Mungu anibariki tu nizeeke naye. Ni mpambanaji mno na very caring indeed, najikuta kwa raha zilizonazo juu yake namlipa mshahara kila mwezi kwa kuwa tu mke wangu na kumshukuru kuzaa watoto tulionao. Thank you Mungu, ni haya tu jamani na samahani kama nimewaudhi. Mwenzenu niko kwenye furaha ya hajabu na mke wangu.
🤣baada ya miaka miwili ndio unakula tundaNa nikikuoa siku 3 nile nisepe
Mwanangu dem alikuwa anakunywa bia yule sijaona..Habari za weekend!
Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.
Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"
Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.
Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.
Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.
Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,
Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
Ulikosea Sana Kupunguza Speed Yako.ME NILITONGOZA DEMU SIKU HIYOHIYO NIKAKUBALIWA JION NIKATUMIWA NAMBA YA RUKU NINUNUE UMEME NIKANUNUA WA TEN NIKATUMA KESHO YAKE MCHANA NIKAOMBWA HELA YA GESI IMEISHA NIKAAMUA KULA UNYOYA NIKAPITA IV 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Huyo hafai kuwa mkeKuna ile mwanamke anakuja kwenye maisha yako kwa kufosi mwsho wa siku unaamua kukaa nae gheto anakuwa mke,unashangaa siku umepinda labda unajisemesha kwake unamwambia nina magumu hata sjui nitafanyaje lakin ajabu anakujibu kuwa " kwani ulilazimishwa kuoa,mwanaume pambana" sasa unawaza kuwa keshasahau kuwa alikuja kwenye maisha yako kwa kung'ang'ania
Kwahio we unavyochati na maboya wengine akikuuliza unasema ana wivu wa kijinga🤣! Hizi ni signs za kutokupendwa live!!!!Mbishi!
Ana wivu wa kijinga!!!
Hawa madem saiv ni washenz sanaUlikosea Sana Kupunguza Speed Yako.
Yeye akawa na speed kubwa akapitiliza.😂
Hongera Sana kijanaMke wa ukweli ni bahati, kwa kweli huyu niliye naye Mungu anibariki tu nizeeke naye. Ni mpambanaji mno na very caring indeed, najikuta kwa raha zilizonazo juu yake namlipa mshahara kila mwezi kwa kuwa tu mke wangu na kumshukuru kuzaa watoto tulionao. Thank you Mungu, ni haya tu jamani na samahani kama nimewaudhi. Mwenzenu niko kwenye furaha ya hajabu na mke wangu.
Hapo Kosa lake lilikua nini chief?Tupo kwenywe uchumba zaidi ya mwaka mmoja na kila siku tunapanga mipango.. Kuna siku aliniuliza hivi baby una mpango gani namimi!?
Nikamuuliza kwamba wewe ndio special sana au kwanini uskilize una mpango gani na mahusiano yetu..akanuna ni nikamblock nikatafute bebe mwingine mtaani yeye amebaki kuomba msamaha kila siku
Unafuliaje hadi unakosa msosi ndani afsa?Aliniletea madeli ya unga na la sukari yakiwa empty afu anatabasamu wakati huo mimi sina kitu,nikawaza kumbe anafurahia mimi nikiwa na magumu
Nilikimbia nikamwachia gheto
🙌🙌🙌😂Lipo limoja hapa nmekaaa ninalielekeza kwamba hela tunapaswa kuwekeza kisha matunda ndio tule hata halielewi
Vivu halofanyi usafi wala kupika halitaki kazi bas katafute halitaki haya leta mawazo ya biashara anataka kuuza magauni ya kuanzia 800k
Shenzi