Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Nilienda mbali kidogo jambo ambalo linge nilazimu nikae kama 5+ month .kuna siku aka niletea story za Open relationship nilikua sielewi ikoje nilivyo Google asee. Ali uliza kiutani ila ili tosha kuona Red flag mimi uyoo nika jikata taratibu
 
Mimi mwanamke yeyote akisha niambia "mwanaume ndio unapaswa kuhudumia" Tuna achana on the spot.

Hiyo ni Red flag ya kwamba huyo ni parasite.

Akahudumiwe na babake.
Lipo limoja hapa nmekaaa ninalielekeza kwamba hela tunapaswa kuwekeza kisha matunda ndio tule hata halielewi

Vivu halofanyi usafi wala kupika halitaki kazi bas katafute halitaki haya leta mawazo ya biashara anataka kuuza magauni ya kuanzia 800k

Shenzi
 
1st, alikuwa anapenda sana starehe na tulikutana club nikataka mbadilisha nikashindwa siku nampiga chini (bila yeye kufahamu) aliniomba twende viwanja usiku nikamwambia sijiskii kutoka akasema basi nimruhusu aende na marafiki zake alafu atarudi na kweli nikamruhusu akaenda akarudi saa 10 alfajiri. Nikasema huyu nitakuwa napiga mpaka nikimchoka nampiga chini uzuri wake ni janga.

2nd, nilimpenda mno ila tatizo uchafu yani hakuna kitu nachukia kwa mtu kama uchafu. Huyu demu ni amesimama hatari alafu wa kishua mno ila ananuka kwapa na hataki mambo ya deodorant wala perfume. Nilimnunulia perfume ya laki 3 akaenda kugawa anasema hapendi perfume na ata akioga bado ananuka jasho kali yani kuna muda anakuwa na nywele za kwapa zimechachamaa ni nyekundu alafu hajali wala nini so nikampiga chini ila mpaka leo hajui shida nini mimi nilimpa sababu za uongo na kweli.
3rd, umalaya nilikuja kumjua baadae sana kuwa ni malaya wa level kubwa baada ya kunipa nyuma na nikambana alianzaje akanipa full mkanda yani ni mzoefu kumbe siku zote namgusagusa tu mpaka agongwe nyuma ndio anarizika. Baada ya hapo nikawa namdanganya nimesafiri nimepata msiba mpaka leo akajiongeza tu nimeachwa.
4th, huyu alikuwa single maza nilitaka kujilipua ila vitu viwili vilinikatisha tamaa moja tukigombana anampost status mtoto wake ananipiga vijembe kupitia mtoto wake nikaona in the future huyu mtoto atakuwa ndio silaha ya kunimaliza pili ni kama nilizinduka usingizi why naoa mtu mwenye mtoto kwa nn nisianze afresh yan nakosa nn mpaka nikabebe mizigo ya watu
 
Back
Top Bottom