Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
nyinyi si washkaji, why ukasirike😂Hakuwa mpenzi wangu ila alikuwa mshikaji tuu, Siku hiyo tunapiga stori akasema " mimi napenda mwanamke nimbinue mpaka nione shimo la uzazi" Yaani pale pale ilikuwa total turn off nikamblock kabisa na ushikaji ukafa maana kiukweli nilimdharau sana na nikawaonea huruma mademu zake.
Maana mwanaume anayejiheshimu na kujielewa hawezi kuongea kauli za kiwaki kama hizo.Nilijisemea hamna kitu hapo.