Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Hakuwa mpenzi wangu ila alikuwa mshikaji tuu, Siku hiyo tunapiga stori akasema " mimi napenda mwanamke nimbinue mpaka nione shimo la uzazi" Yaani pale pale ilikuwa total turn off nikamblock kabisa na ushikaji ukafa maana kiukweli nilimdharau sana na nikawaonea huruma mademu zake.

Maana mwanaume anayejiheshimu na kujielewa hawezi kuongea kauli za kiwaki kama hizo.Nilijisemea hamna kitu hapo.
nyinyi si washkaji, why ukasirike😂
 
Alisema nikimuoa nifanye mpango nimpe pesa akatengeneze shape Uturuki kabla hajazaa na atazalia Saifee hospital japo hata siijui ipo wapi😎
 
Kuna mmoja alikua hafanyi vizuri masomoni tulipo date nikasema huyu ngoja nimwache maana watoto wangu wasije kua vichwa maji 🤣🤣
 
Huu uzi mtamu balaaaa....leo nachela tuu hapa. Aisee lete maeneno wandugu.
 
Back
Top Bottom