MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

Nipo na shosti hapa analalamika kuwa
Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha

Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea

Eti unamsaidiaje shosti wangu??
Mwambie aache kulala na vibabu uyo
 
Back
Top Bottom