Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
Kuna tabia ambazo tuseme ukianza kuziona kwa mtoto wa kike ambae ni mpenzi wako kama ilivyokuwa zamani unajua hapa kuna kitu hakipo katika penzi lenu kama zifuato.
Hakutafuti usipomtafuta, unapoanzisha mawasiliano na yeye anaonekana hajisikii kuzungumza na wewe.
Unapomueleza hisia zako wala hakuonyeshi kujali, muda mwingi anakuwa na hasira ya vitu vidogo vidogo.
Kuna time akitulia ukitaka kujua shida ni nini anakwambia hayupo sawa ukitaka kujua shida nini hakwambii na hayupo tiyali kulizungumzia hiloo.
Kipindi cha nyuma alikuwa anakuita majina ya kimahaba kama vile bby love, darling, babe ili kunogesha penzi lenu sasa hivi anakuita Baba flani, au Athumani.
Je ni nini cha kufanya ili kumrejesha awe kama zamani maana hizi ni dalili penzi lenu linaelekea sio pazuri au ni kitu gani cha msingi cha kufanya.