Mpenzi wako anapokwambia "flani ananitongoza" anakua anamaanisha nini?

Hapo mwanamke anajenga defense mapeema...!!ni kama draft yan...unatoa kete 1 ili ule 2...!!ukiona amekuambia mmoja basi kuna wa4 hakuambii...!!kuna mwana alitaka kupigana kisa dem tukamchana kabsaaa...aache uzumbukuku
Washangaa sana mpenz akusaliti alafu upigane kiasi gani we ni zoba mpaka unampigania msaliti 😠😠
 
Jikite kwenye mambo ya msingi,,, achana na vitu vidogo hvo
 
Shtuka mwamba. Muda sio mrefu utapigwa na kitu kizito.

Ukiona mwanamke anakuletea wewe stori za kuwapa mashosti zake ujue kuna kitu kinaandaliwa.
 
Mrejesho
 
Kaliwa huyo jiongeze, hapo anakuonyesha tu kuna ngedere wengi wanataka kumpukuchua.
Sasa we ukae mkao wa "Nyuma geuka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…