dungune
Member
- Nov 10, 2021
- 70
- 157
Washangaa sana mpenz akusaliti alafu upigane kiasi gani we ni zoba mpaka unampigania msaliti 😠😠Hapo mwanamke anajenga defense mapeema...!!ni kama draft yan...unatoa kete 1 ili ule 2...!!ukiona amekuambia mmoja basi kuna wa4 hakuambii...!!kuna mwana alitaka kupigana kisa dem tukamchana kabsaaa...aache uzumbukuku