Mpenzi wako asie mwaminifu...utamfanyaje ili arejeshe uaminifu?

Ni rahisi kusema "namuacha" lakini you'll be surprised at the number of people who live with unfaithful partners KNOWINGLY. Sote tunafahamu couples za aina hiyo. Kuachana sio rahisi hivyo... kuna barriers za culture, religion, security, shame etc. Not a good situation to be in...
 
Kwanza ni vyema tukajua sote kuwa mapenzi sio sex pekee yake ni mkusanyiko wa vitu vingi sana sana lakini wengi wetu tunajua mapenzi ni sex tu basi lakini kumbe wapi!!!!!!
Katika mapenzi kutafuta faraja kwingine sio njia mbadala ya kutatua tatizo , njia ni kukaa na kuzungumza kwa nini imekuwa hivyo. Siimani kile anachopata nje ya mahusiona wewe mpenzi wake huwezi kumpatia unaweza, tatizo tu hamjakaa na kuzungumza na kujua njia ya kutatua. Labda iwe huruka ya mtu mwenyewe au hana upendo wa zati nawe, lakini kama anaupendo wa zati ukweli ulio wazi mkikaa na kuzungumza mnaweza amkatatatua tatizo na kuyafurahi mapenzi yenu.
 
Shukran.
 
Back
Top Bottom