Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza ni vyema tukajua sote kuwa mapenzi sio sex pekee yake ni mkusanyiko wa vitu vingi sana sana lakini wengi wetu tunajua mapenzi ni sex tu basi lakini kumbe wapi!!!!!!
Katika mapenzi kutafuta faraja kwingine sio njia mbadala ya kutatua tatizo , njia ni kukaa na kuzungumza kwa nini imekuwa hivyo. Siimani kile anachopata nje ya mahusiona wewe mpenzi wake huwezi kumpatia unaweza, tatizo tu hamjakaa na kuzungumza na kujua njia ya kutatua. Labda iwe huruka ya mtu mwenyewe au hana upendo wa zati nawe, lakini kama anaupendo wa zati ukweli ulio wazi mkikaa na kuzungumza mnaweza amkatatatua tatizo na kuyafurahi mapenzi yenu.