Mpenzi wako au mwenza wako akikuomba simu yako ghafla unatumia mudagani hadi umpatie

Mpenzi wako au mwenza wako akikuomba simu yako ghafla unatumia mudagani hadi umpatie

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane.

Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha.

Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu.

Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu simu na kumpatia mwenzi wako hiyo bado sio sahihi kwangu hivo bado tu nina haki ya kumsubirisha dk1 nifanye usafi kwanza.

Je ww unatumia muda gani mpaka umpatie hata kama hajakwambia anataka nn ndani ya simu yako.
 
kuchorana tyuuuuu hamna sababu ya kuhangaika na simu ya mwenziii .... hadi wote muwe na miaka 55 + ndo nywila zote unaondoaa
Wee mtoto Una akili Sana. Kweli Mimi kwa miaka niliyonayo sasa akitaka atumie tuu maana nywila IPO ili simu isijipigepige.
 
Back
Top Bottom