Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
Huwa hamkosi jambo hata kama upo clean kiasi ganiKama huna makando kando wala haina haja ya kuwaza!
Huwa hamkosi jambo hata kama upo clean kiasi ganiKama huna makando kando wala haina haja ya kuwaza!
Nampatia tu. Atakachokikuta akubaliane nacho Kwasababu amekitaka mwenyewe kukionaMara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane.
Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha.
Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu.
Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu simu na kumpatia mwenzi wako hiyo bado sio sahihi kwangu hivo bado tu nina haki ya kumsubirisha dk1 nifanye usafi kwanza.
Je ww unatumia muda gani mpaka umpatie hata kama hajakwambia anataka nn ndani ya simu yako.
Kwa dakika na sms Nitampa kiswaswadu 😂😂..... Ila kwa Data nitam-hotspot tuu wala hamna shida Ila sio kumpa simu yangu
Nini atakuta huko?Nampatia tu. Atakachokikuta akubaliane nacho Kwasababu amekitaka mwenyewe kukiona