Mpenzi wako au mwenza wako akikuomba simu yako ghafla unatumia mudagani hadi umpatie

Simu yangu ipo free, akiamua anatumia bila hata ya kuomba.
Password za simu zetu zinafanana, sinaga tabia ya kutumia simu yake, labda nisiwe na chaji
 
Natumia simu ambayo naweza kuweka passwords 2.

Kuna password nikikutajia ukifungua inakua ni simu nyingine.

Ila hii sijaipenda tofauti na nilivyokua natumia Huawei P7 LTE ambapo ilikua nikimblock mtu kwenye password nitayokutajia basi huyo ili anipate inabidi niwe kwenye password 2.

Na picha au sms zilizo password 1 hauzikuti password 2.
 
Kwa dakika na sms Nitampa kiswaswadu πŸ˜‚πŸ˜‚..... Ila kwa Data nitam-hotspot tuu wala hamna shida Ila sio kumpa simu yangu
 
Nampatia tu. Atakachokikuta akubaliane nacho Kwasababu amekitaka mwenyewe kukiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…