Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku.

Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
 
Yeye: Hilo vumbi miguuni sasa, hebu futa miguu atanichafulia sebule yangu leo nilishinda nadeki.

Mimi: (kimoyomoyo) Lione kichwa kama andazi.
(Kwa sauti) Sawa nimekuelewa bibie, umeshindaje lakini?
ha ha ha ha inafurahisha sana
 
Namfuata mlangoni hukohuko anakobishia hodi,naanza:
“Mambo(namtaja jina lake)mkono wa kushoto kwa kiuno chake,mkono wa kulia nampokea mzigo (kama kabeba) nampa pole na kumkaribisha ndani.imeisha hiyo🥂
 
Namfuata mlangoni hukohuko anakobishia hodi,naanza:
“Mambo(namtaja jina lake)mkono wa kushoto kwa kiuno chake,mkono wa kulia nampokea mzigo (kama kabeba) nampa pole na kumkaribisha ndani.imeisha hiyo🥂
ha ha ha ha unaonekana wewe ni mwema kiasi
 
Back
Top Bottom