Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha ha inafurahisha sanaYeye: Hilo vumbi miguuni sasa, hebu futa miguu atanichafulia sebule yangu leo nilishinda nadeki.
Mimi: (kimoyomoyo) Lione kichwa kama andazi.
(Kwa sauti) Sawa nimekuelewa bibie, umeshindaje lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeye: Hilo vumbi miguuni sasa, hebu futa miguu utanichafulia sebule yangu leo nilishinda nadeki.
Mimi: (kimoyomoyo) Lione kichwa kama andazi.
(Kwa sauti) Sawa nimekuelewa bibie, umeshindaje lakini?
Ukiungana na Mlevi Mmoja, mnaweza kufanya jambo.Tunaoishi nyumbani tunakutana na dada wa kazi anaanza na 'mambo' mixer kutaja menyu(chakula) kilichopo
Nikianza kuishi na mpenzi/mume nitatoa ushuhuda
Huwa anakupokeaje?Mtoa mada hii inatuhusu wote? Just in case mwanaume ndio katangulia home au ni kuwapokea wanaune tu?
Ukiungana na Mlevi Mmoja, mnaweza kufanya jambo.
ha ha ha ha unaonekana wewe ni mwema kiasiNamfuata mlangoni hukohuko anakobishia hodi,naanza:
“Mambo(namtaja jina lake)mkono wa kushoto kwa kiuno chake,mkono wa kulia nampokea mzigo (kama kabeba) nampa pole na kumkaribisha ndani.imeisha hiyo🥂
Wekeni mambo sawa,angalau muwe mnapokeana mtokapo kwenye mihangaikoHebu niache 🤣🤣
Sijui kama kufanya hivyo kunafanya niwe mwema ama la.lakini hivyo ndivyo nilivyo sikumbuki kama nilishaachaga kufanya hivyo.ha ha ha ha unaonekana wewe ni mwema kiasi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeye: Hilo vumbi miguuni sasa, hebu futa miguu utanichafulia sebule yangu leo nilishinda nadeki.
Mimi: (kimoyomoyo) Lione kichwa kama andazi.
(Kwa sauti) Sawa nimekuelewa bibie, umeshindaje lakini?
ha ha ha ha unaonekana wewe ni mwema kiasi
Yeye: Hilo vumbi miguuni sasa, hebu futa miguu utanichafulia sebule yangu leo nilishinda nadeki.
Mimi: (kimoyomoyo) Lione kichwa kama andazi.
(Kwa sauti) Sawa nimekuelewa bibie, umeshindaje lakini?
ha ha ha baada ya hapo ni nini kinafuataSijui kama kufanya hivyo kunafanya niwe mwema ama la.lakini hivyo ndivyo nilivyo sikumbuki kama nilishaachaga kufanya hivyo.
Kwa sababu hujampunguzia uchovu alionao😅😅😅😅😅eti mwema kiasi.kwanini sio mwema sana mkuu🤪🤪