Mpenzi wangu akinipigia simu napata hasira bila kuwepo na chanzo chochote

Mpenzi wangu akinipigia simu napata hasira bila kuwepo na chanzo chochote

Ukifika hatua ya kukinai! Kile kilichokuwa ni kizuri gafla hugeuka na kuwa kibaya.

Umemzoea sana kiasi cha kumchoka!
Kwenye mahusiano yenu pengine hamna Malengo na future hivyo Hana thamani wala umuhimu kwako.

Unaona hata ukimpoteza hutapungukiwa na kitu!

Ulichohitaji umekipata ...

Jitafakari kama umemchoka mwambie tu mapema
 
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana

Shida inakuwa nini....?
Hilo tatizo nalipata pia ila nimegundua limekaa kisaikolojia 60% kihisia 40% yaani unakuta wakati mwingine nakuwa na hamu sana niongee nae ila akipokea naongea kwa hasira, nahisi yeye ndio anakupenda zaidi ya unavyompenda.
Kama ndivyo maamuzi unayowewe ujirekebishe au piga chini usimuumize mtoto wa watu
 
Back
Top Bottom