Mpenzi wangu akinipigia simu napata hasira bila kuwepo na chanzo chochote

Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana

Shida inakuwa nini....?
Shida inakuwa ni wote hamna akili zà mahusiano. Subirini mkue.
 
Mwambie apunguze kukuomba hela..
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana

Shida inakuwa nini....?
 
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana

Shida inakuwa nini...
Mapenzi yameisha,,, hukumpenda bali ulimtamani..
 
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana

Shida inakuwa nini....?
huenda kuna jini kisirani kati yenu 🐒
 
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana

Shida inakuwa nini....?
Hakuna jambo tena hapo, mkiendelea kuforce ataumia mtu au kupoteza uhai.
 
Back
Top Bottom