Mpenzi wangu akinipigia simu napata hasira bila kuwepo na chanzo chochote

Mpenzi wangu akinipigia simu napata hasira bila kuwepo na chanzo chochote

Inaonekana wewe una hasira kwa baadhi ya watu unaowaona wako weak kwako
Yaani kwa kifupi unaoweza kuwaonea unawaonea haswa (Bulling)
Sasa akitokea mtu mkorofi unaunywea
Huyu siku akikutukana au kukasirika zaidi yako utapoa mwenyewe
Ushauri jifunze kuwa mvumilivu maana Subira ni Uungwana
Kama nimekutasiri vibaya nikuomba radhi na huu pia ni Uungwana
 
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana

Shida inakuwa nini....?
kijana UNAMPENDA huyo binti? Au ulimtamani tu uwe unamalizia feelings zako kwake?

just simple question jiuliza unampenda? au ulimpendea nini ambacho sasa hakipo?
 
Back
Top Bottom