iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Umemuita "MANZI" wako?Mpeleke mahakamani umuombe talaka.Rahisi tu.JAMANI WADAU, NAOMBA MNISAIDIE KITU. NINA MANZI WANGU KIMAHUSIANO, ILA KILA AKINIPIGIA SIMU NAPATA HASIRA, TUNALUMBANA LUMBANA SANA LAWAMA KWA SANA
SHIDA INAKUWA NINI....?
Au atakuwa kamsaidia kubeba mimba.Umependi hakuna mapenzi hapo why uchukie tu pasi na sababu
Na amekuuliza ..."shida inakuwa nini"...?Mjibie mtihani wake aisee!sasa ndio uturembee mwandiko? manzi wako wewe tatizo tutatue sisi??
Na amekuuliza ..."shida inakuwa nini"...?Mjibie mtihani wake aisee!
Onesha love kwa kijana wetu.Hana baya.Ni harakati za mahaba tu.asinichanganye mimi, mtihani wangu hauwezi hata kidogo kila mtu abebeb msalaba wake.
Tatizo umri na love at first sightJamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana
Shida inakuwa nini....?
Ma mkwe mbona mkali ivyo 😂😂sasa ndio uturembee mwandiko? manzi wako wewe tatizo tutatue sisi??
Menopause au hormone imbalance. Au humpendiJamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana
Shida inakuwa nini....?
Hilo tatizo nalipata pia ila nimegundua limekaa kisaikolojia 60% kihisia 40% yaani unakuta wakati mwingine nakuwa na hamu sana niongee nae ila akipokea naongea kwa hasira, nahisi yeye ndio anakupenda zaidi ya unavyompenda.Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana
Shida inakuwa nini....?
Unatoa siri zenu wanawake, wanaume hatuko hivoKuna mtu tayar yupo Kwa kichwa chako utake usitake
Wanaume mmeumbwa vichwa wazi [emoji847]
Ukienda kwa daktari wa utabibu utapewa jibu!Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana
Shida inakuwa nini....?