Mpenzi wangu alinidanganya umri

Una miaka 30 sasa pumbaf wewe.. Sasa endelea kutafuta wa umri wako uone kama utampata.. Na ninakuambia kabisa. Ukimuacha huyo dogo jiandae kuwa singo Maza mbeba waume za watu..
 
Karibu kwangu baby nakupenda sana siwezi kuishi bila wewe
 
Kwa uzee gani bwana we!!

Wewe nae uko kwenye kundi la kubemendwa 🀣🀣🀣
Hahaha........umefanya nicheke Babu yako πŸ€—

We huogopi Mvi zetu Wazee zilizotapakaa Kila mahali 😜

Hebu kwanza niletee Kiko nivute Babu yako πŸ€—
 
Hahaha........umefanya nicheke Babu yako πŸ€—

We huogopi Mvi zetu Wazee zilizotapakaa Kila mahali 😜

Hebu kwanza niletee Kiko nivute Babu yako πŸ€—
Utabemendwa we mtoto🀣🀣
 
Utabemendwa we mtoto🀣🀣
Hahaha............hivi mtoto Kwa Kiinglish ndiyo wanaita "baby" eeh??πŸ€—

Utafanya niendelee kupaka Piko nywele zangu zenye Mvi ili nifaidi kuitwa hayo Majina.

Maana nakumbuka mara ya mwisho niliitwa baby na Bibi yenu Mwaka 47 😜 πŸ™Œ imagine
 
Unadanganya umri unakuja jf kulalamika watu tumedanya watoto
 
Sasa mtoto mdogo hivyo unakuwa na mvi ni laana au? Hakikisha ziambatane na pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…