Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mpenzi wangu alinidanganya umri

Una miaka 30 sasa pumbaf wewe.. Sasa endelea kutafuta wa umri wako uone kama utampata.. Na ninakuambia kabisa. Ukimuacha huyo dogo jiandae kuwa singo Maza mbeba waume za watu..
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Karibu kwangu baby nakupenda sana siwezi kuishi bila wewe
 
Kwa uzee gani bwana we!!

Wewe nae uko kwenye kundi la kubemendwa 🤣🤣🤣
Hahaha........umefanya nicheke Babu yako 🤗

We huogopi Mvi zetu Wazee zilizotapakaa Kila mahali 😜

Hebu kwanza niletee Kiko nivute Babu yako 🤗
 
Utabemendwa we mtoto🤣🤣
 
Utabemendwa we mtoto🤣🤣
Hahaha............hivi mtoto Kwa Kiinglish ndiyo wanaita "baby" eeh??🤗

Utafanya niendelee kupaka Piko nywele zangu zenye Mvi ili nifaidi kuitwa hayo Majina.

Maana nakumbuka mara ya mwisho niliitwa baby na Bibi yenu Mwaka 47 😜 🙌 imagine
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Unadanganya umri unakuja jf kulalamika watu tumedanya watoto
 
Hahaha............hivi mtoto Kwa Kiinglish ndiyo wanaita "baby" eeh??🤗

Utafanya niendelee kupaka Piko nywele zangu zenye Mvi ili nifaidi kuitwa hayo Majina.

Maana nakumbuka mara ya mwisho niliitwa baby na Bibi yenu Mwaka 47 😜 🙌 imagine
Sasa mtoto mdogo hivyo unakuwa na mvi ni laana au? Hakikisha ziambatane na pesa.
 
Back
Top Bottom