Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mpenzi wangu alinidanganya umri

🤣🤣🤣🤣
Aaah humu kumejaa wazee wa hovyo tupu kina Grahams
Hakuna Mzee mwenye miaka 79 kama yangu halafu akawa wa hovyo🤗

Angalieni tulivyo na hekima kama zilivyo Mvi zetu 🤗
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
WE nawe mjinga!!?

Mapenzi hayaongozwi na umri Bali muonekano na hisia!!

Mimi siamini katika umri Bali muonekano plus mvuto wa mtu alionao!!

Unaweza ukawa was 2000 lakini umezeeka hutamaniki na nikawa was 1970 Nina mvuto was ujana!!

Kama unampenda usimiache kwasababu za kitoto coz baada ya muda mtafanana kama mapacha!!!

Acha kulia lia!
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Timing....
 
Mapenzi hayana mwenyewe...

unaweza kupenda kijana au mzee...
FB_IMG_1720861136141.jpg
 
Back
Top Bottom