Mpenzi wangu aliniomba siku yake ya Birthday nimnunulie zawadi itakayo dumu mwaka mzima nimemnunulia Calendar kanuna

Mpenzi wangu aliniomba siku yake ya Birthday nimnunulie zawadi itakayo dumu mwaka mzima nimemnunulia Calendar kanuna

Mpenda vurugu

Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
98
Reaction score
621
Za sahizi wakuu.

Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu

2024-calendar-events-2023-12-790af5582c84c13f6f59a2e9bc497733.jpg
 
hiyo zawadi itadumu miezi mitatu tuu. ni sawa kununa
 
Back
Top Bottom