Mpenda vurugu
Member
- Apr 7, 2024
- 98
- 621
Mlete nimuague kapigwa zongoZa sahizi wakuu.
Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu
Dhamira ilikuwa uchekeshe ila haichekeshi.Za sahizi wakuu.
Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu
Na sharti la kuaguliwa dawa iingizwe kupitia kikojoleo. Chake na chako viungane, mizimu inatibu kupitia chululuπππMlete nimuague kapigwa zongo
Mimi nimecheka lakin!!Dhamira ilikuwa uchekeshe ila haichekeshi.
Tuma salamu kwa watu 2.Mimi nimecheka lakin!!
Namsalimu dada akoTuma salamu kwa watu 2.
Mwambie dada yako atawafikishia akija kwangu leo usikuNamsalimu dada ako
Pia namsalimu binam yako wa kike,mtoto wa antie ako.
Wape salam
Umetoka lockup ππNamsalimu dada ako
Pia namsalimu binam yako wa kike,mtoto wa antie ako.
Wape salam
SAwa.Mwambie dada yako atawafikishia akija kwangu leo usiku
Daaahh!!! Acha tu mshkaj wangu, yan hata nguvu sina ndio nazikusanya kusanya nianze upya ukorofiUmetoka lockup ππ
Pole ππDaaahh!!! Acha tu mshkaj wangu, yan hata nguvu sina ndio nazikusanya kusanya nianze upya ukorofi