Mpenzi wangu amejisaidia haja ndogo kitandani, kumuuliza akasema ni bahati mbaya

Huo ni ugonjwa na unatibika cha muhimu ni lengo lako kwake kama kweli unampenda na utamsaidia kumtafutia tiba
 
uwe unamuamsha usiku akakojoe.. lakini tumia hekima kidogo mwambie baby nimeshtuka balaa akikaa kaa pale mkaongea kidogo atahisi mkojo ataenda msalani ..... iala kama ni muelewa unaweza mwambia nitakuwa nakuamsha usiku ukakojoe .. ni jambo la kawaida ni mwli tu mtu akilala anarelax itu vinakuja vyenyewe kama kujamba vile
 
Mi siwezi kumuacha nayempenda sababu kakojoa kitandani, tena mara moja, na angekua anakojoa mara kwa mara ningemnunulia nepi kabisa nikampeleka kwa daktari. Na kama ni tatizo halitibiki ningeishi naye hivohivo tu, hata mashuka yanayo-repell maji ningemnunulia na kutafuta sanitary measures nyingine kuhakikisha effect inapungua.
Ukiona una sitasita huo hujampenda bado, unatamani tu kupiga mishe ila sidhani ka unamuona wife material.
 
Ni kawaida nakwambia...ni kawaida sana wew ondoa hofu cha muhimu asilale akiwa amebanwa na mkojo, maana hadi ndoton atakuwa amebanwa na sharti ni lazma ataenda kukojoa.....akikojoa tuu kwisha habar
Ni kawaida kwa mtoto lakini si kwa mtu mzima! Huo ni ugonjwa na unatibika kabisa na anaweza badili life style akapona pia..
 
asante mkuu ila baada ya tukio hilo upendo wangu kwake umeisha kabisa najiuliza kama nikimuoa alafu kaenda kukojoa ukweni (kwetu) sijui nitaelewekaje huko nyumbani
Vipi kuhusu wanaume nao baadhi wanatatizo kama hili au linawahusu wanawake tu
Mkuu usimuache nenda kampeleke atapata matibabu...!
 
awe anakunywa wakati anajiandaa kulala au hata kabla mkuu

asubuhi au mchana .Hiyo ni baada ya kufei hatua za awali za kuondoa uvivu ,mazoezi ,kuamka usiku na kutokunywa maji wakati wa kulala ,kuoga nk kikubwa ni kuondoa uvivu na kuwa msafi.Kama hizi anazingatia ndo utathibitisha kuwa ni mgonjwa anza kumpa hiyo.
 
Hahahaaa uwi mkuu usimuache,mimi ishanitokea sio mara moja,nikiwa hivi hivi na mvi zangu,sio ugonjwa ni kupuuzia kukojoa muda ule wa kulala,thn ucku unaota km ndoto upo kichakan unajojoa,bt mkojo wake unaweza kuuwahi ukihis tu unashtuka unaenda choon bt huyo wako itakua ni uchovu tu so mvumilie mkuu
 
Simple solution : Kama mwalala saa 5 usiku, weka alarm saa 7 na unusu. Mwamshe aende maliwatoni. Alarm saa 9 unusu aende tena. Saa 11 si ndo mida ya kuamka? Ataamka mwenyewe aende. Hizo ni reflexes tu
 
Hilo la kawaida mkuu. Mimi mwenyewe nikiwa Nsumba sec. school nikiwa new comer nilikojoa usiku kama saa kumi na nusu (nilimkojolea ex head boy) pale bweni la MKWAWA
 

Hehe wewe sekondari ?mimi juzi juzi tu😂😂😂😂😂
Its either anaugonjwa au wengine hukojoa sababu ya stress labda
 
asante mkuu ila baada ya tukio hilo upendo wangu kwake umeisha kabisa najiuliza kama nikimuoa alafu kaenda kukojoa ukweni (kwetu) sijui nitaelewekaje huko nyumbani
Vipi kuhusu wanaume nao baadhi wanatatizo kama hili au linawahusu wanawake tu

Wewe unamchumbia sababu unahitaji kuoa lakini si kweli kwamba unampenda usitudanganye
Unconditional love haina sababu ya kupunguza upendo kama kweli unampenda
Mfano wewe kesho ukiamka unakilema chochote na akaendelea kuwa na wewe huo ni upendo wa kweli
Na kukojoa ni tatizo linalotibika,mfanye awe huru akueleze kila kitu kuhusu tatizo lake then muanzie alipoishia,huyo Dada atakupenda na kukuheshimu sana....usimkimbie sio solution
 
mwezi mmoja mmeshaanza kutiana, aisee nyie mna balaa. HAYA UCHUMBA MWEMA

mkuu unanishauri ningeanza kumtia baada ya muda gani? kama ni ndani ya ndoa mapungufu yake ningeyajuaje kama hili la kukojoa
 
Hehe wewe sekondari ?mimi juzi juzi tu😂😂😂😂😂
Its either anaugonjwa au wengine hukojoa sababu ya stress labda

Ha ha ha ila sishangai wala coz hata now inanitokeaga ila nawah kushtuka kabla ya tukio....mi naona kwa kuwa mleta uzi kasema ni mara moja tuu may be ndio kupitiliza kama sisi
 

usimkimbie mpenzi wako kwa sababu ya kosa moja tu. huenda alikuwa kwenye ndoto kali, akahisi yuko nje anakojoa. hutokea wengi sana hata mie siku moja iinitokea, niliona aibu isiyo kifani. na ile ndoto ilinichefua sana.

kama inajirudia rudia, hebu jaribu hii dawa, huenda ikasaidia.

http://www.dkmandai.com/2015/11/jinsi-mdalasini-unavyoweza-kumsaidia.html?spref=fb&m=1
 

Nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…