Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chilumendo we mfipa wa wapi kaka??
Ni kawaida kwa mtoto lakini si kwa mtu mzima! Huo ni ugonjwa na unatibika kabisa na anaweza badili life style akapona pia..Ni kawaida nakwambia...ni kawaida sana wew ondoa hofu cha muhimu asilale akiwa amebanwa na mkojo, maana hadi ndoton atakuwa amebanwa na sharti ni lazma ataenda kukojoa.....akikojoa tuu kwisha habar
Mkuu usimuache nenda kampeleke atapata matibabu...!asante mkuu ila baada ya tukio hilo upendo wangu kwake umeisha kabisa najiuliza kama nikimuoa alafu kaenda kukojoa ukweni (kwetu) sijui nitaelewekaje huko nyumbani
Vipi kuhusu wanaume nao baadhi wanatatizo kama hili au linawahusu wanawake tu
Mpeleke kwa Dr Mwaka....awe anakunywa wakati anajiandaa kulala au hata kabla mkuu
awe anakunywa wakati anajiandaa kulala au hata kabla mkuu
Ha ha haaa hata mm nilishawahi kukojoa kitandan nikiwa secondary.. acha kabisa hizi ndoto ni balaa unaota umefika chooni kabisa ndio unakojoa ndio unakojoa kweli..ila tangu hapo haijawah tokea.
Mkuu hiyo hali ni ya kawaida na mara nyingi hutokea mtu akilala mchovu. Ila sio ugonjwa wala nini
asante mkuu ila baada ya tukio hilo upendo wangu kwake umeisha kabisa najiuliza kama nikimuoa alafu kaenda kukojoa ukweni (kwetu) sijui nitaelewekaje huko nyumbani
Vipi kuhusu wanaume nao baadhi wanatatizo kama hili au linawahusu wanawake tu
mwezi mmoja mmeshaanza kutiana, aisee nyie mna balaa. HAYA UCHUMBA MWEMA
Hehe wewe sekondari ?mimi juzi juzi tu😂😂😂😂😂
Its either anaugonjwa au wengine hukojoa sababu ya stress labda
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi ninakaa kwangu sasa katika huo muda wa mahusiano kuna muda hua naenda kulala kwake kama mara nne hivi vivyo hivyo naye huwa anakuja kulala kwangu.
Sasa sababu ya kuleta post hii hapa jamvini ili nipate ushauri, ni kwamba kuna siku alilala kwangu wakati wa usiku wa manane nikajihisi nimelalia maji nilivyoshituka kumshitua mpenzi wangu kwamba haya maji yametoka wapi akasema ni yeye amekojoa kwa bahati mbaya. Nilivyombana ni kwanini akojoe kitandani badala ya chooni akasema mkojo ulikuwa umembana sasa akasema ngoja alale kidogo ndoto ikamjia anakojoa nje kumbe ni kitandani.
Nilivyomuuliza kama hali hiyo ilishajitokeza huko nyuma akasema kama miaka mitatu iliyopita tukio hilo lilijitokeza ombi langu kwenu wadau huyu ni mpenzi niliyekuwa nina mpango wa kumchumbia hivi karibuni lakini kwa tabia hii nimevunjika moyo kabisa, nilikuwa naomba ushauri katika jambo hili kama kweli linaweza kujitokeza kwa mtu kukojoa kitandani kwa bahati mbaya au hilo ni tatizo la kudumu.
USHAURI WANGU KWENU WANAWAKE/
WASICHANA
Leo Nina jambo kwenu nyie dada zangu....
Ukitaka kuolewa olewa na mume ambaye
atakuwa rafiki kwako siyo kisa unampenda hadi
anakufunga akili kama MAHARAGE ya kwenye
MAKOPO , jaribuni hata kuzingatia umri usiolewe
na mwanaume atakaye kuwa BABA kwako! yaani
Unaolewa na mwanaume ana masharti kama
ubalozi wa MAREKANI ?? Ukitaka kumuomba au
kumshauri kitu unakuwa na HOFU kama unasubiri
MAJIBU ya UKIMWI bhana!? Ukimuelekeza jambo
utasikia kakufundisha nani? Ushaanza umalaya
eeeh basi unayweeeea kama KONOKONO kwenye
gamba atiwapo chumvi au amuonapo ADUI ?
yaani inafikia kipindi Ndoa unaiona chungu kama
umeolewa na Al-shabab?? Yaani mwanaume
mbabe utazani nyapala wa gereza la ISANGA ???
Mwanaume mjuaji kila kitu kama MAFUTA YA
KUPIKIA.. Yaani tangu amekuoa ye Ni amri tu
kama hakimu wa mahakama ya MWANZO !
Ila kinacho waponza Ni tamaa tu ukishaona
mwanaume anavijisent baaasi ushashoboka kama
mbwa koko aliyeona mfupa kwa muuza supu
Kwamba hata apigweje baadae atarudi tena
kudowea mabaki!! Na ndo maana ndoa
zinawashinda hata mwaka hammalizi.. Msione
vyaelea vimeundwa! Mnawasaliti wapenzi wenu
wanaowapenda kwa dhati kisa magari na mijengo
ukitaka kufaidi life ya raha chuma mwenyewe
mnapenda mtelemko kama MKOKOTENI kwenye
MTEREMKO mnaishia kunyanyasika tu mtakufa
ulimi nje kama MBWA anapoza MWILI kivulini.....
AMKA SASA TATIZO LENU MNAPENDA VIMTU
AMBAVYO HAVINA MBELE WALA NYUMA KISHA
MKIPIGWA CHINI MNAKUJA NA HOJA ETI
WANAUME WA SIKU HIZI.......AMKA SASA