Mpenzi wangu amejisaidia haja ndogo kitandani, kumuuliza akasema ni bahati mbaya

Humpendi, ungekuwa unampenda wala usingekumbuka kama kakojoa kitandani!
 
Tatizo dogo sana hilo na linatibika. yawezekana hujapenda wew ndo maana unamjadili.
wenzio tunamiliki wenzi ambao wana gonjwa halitibiki. ila hatuoni, hatuskii, had nagombana na ndugu . (mapenz upofu).
KUwa OriGinal. kama unampenda futa huu uzi haraka .
 
Umedumu nae mwezi mmoja na ulikua una mpango wa kumchumbia hivi karibuni? that means within six month ungeoa kabisa?kasheshe, in short huyo ni mrembo kikojozi but kama wampenda mvumilie mtafute solution pamoja

Mhh comment yako niki-relate na avatar yako unayotumia its disappointed,dat lady in ur avatar ni smart sana,nikuulize tu kwani mwaswala ya mahusiano, mapenzi yana formula to use?au kwa maana nyingine ni lazima tuigane jinsi yakumpata mke/mume?wewe Ulitakaje amsome years ndo afanye maamuzi ya kumuoa?when love comes doesnt ask why sitaki kuamini hiyo ni hast generalization fallacy ,sasa nirudi kwenye mada ninacho kiamini mimi ukimpenda mtu mapungufu yake hayawezi kukusumbua, cha msingi ndo wakati haswa wakumuonyesha mapenzi ya dhati kabisa kumjali na kutafuta suluhu la tatizo na kumsaidia na mpeleke kwa doctor na swala hilo linatibika ,
 

Hivi KakaJambazi ni bro wako? Nauliza tu.
 
Last edited by a moderator:

"Its dissapointed"?lol nani alikwambia mtazamo wa mtu ukiwa tofauti na wako inamaanisha huyo mtu sio smart?je mtazamo wako ndo kipimo cha usmart wa mtu? anyway kila mtu ana mtazamo wake linapokuja swala la mahusiano, nimeshangaa kivyangu kutokana na ninavyoamini na ambavyo nimekua nikishuhudia kwa wengi walioharakisha mambo kua mwezi mmoja hautoshi kujua tabia ya mtu ili uamue kujicommit kwa jambo kubwa kama ndoa, kwako wewe inaweza kua tofauti maneno yangu sio formula, simamia unachokiamini
 

ndiyo maana nikauliza maana kwangu limenishangaza mtu mzima kukojoa kitandani tena akiwa kwa mpenzi wake tatizo nini
 
Mmmhh ....... Huenda Ni jasho tu vipi ulinusa kwani???????
 

Njee ya mada...
 


Ndugu yangu

Kwanza, usikate tamaa na hali iliyorokea. Kama ninakusoma vema hilo ni tukio moja ukiwa naye. Huwezi kufikia hitimisho kwa tukio moja

Kwa mujibu wake iliyawahi kumtokea miaka 3 iliyopita.
Kwa maelezo hayo ni hali inayojirudia ingawa hatujui ni katika muda gani.


Hili ni suala la mapenzi na katika mahusiano kuelekea uchumba ni ngumu kidogo kupata ABCD

Hali ya bedwetting inaitwa nocturnal enuresis (kukojoa usiku bila ridhaa au kupenda) Hali hiyo inasababishwa na mambo mengi ambayo kwa undani wake ni ya kitaalamu zaidi. Tunaweza kuweka kwa ufupi sana na kiwango cha kawaida cha uelewa kama ifuatavyo

Hereditary: Kurithi hali kutoka kwa wazazi, iwe mmoja au wote

Hormone: Mfumo wa `homoni kama ADH`unaweza kuwa na matatizo

Anatomy: Kibofu kidogo kwa maana ujazo wake na si siza (functional blaader capacity au FBC)

Maradhi : Kama kisukari aina ya 1 (Type 1 diabetic)

Mfumo fahamu(Neuroological) umeathirika katika kudhibiti

Kijamii (social) kwamba aliye na hayo hapo juu na akanywa maji mengi, inaweza kuchochea hali hiyo

Na pia hatuwezi kuweka mbali uchovu ambao wewe pekee unaujua, ushanfahamu!
Uchovu kwa maana mtu anajisikia, anaahirisha na matokeo ni simtank inapsuka bila kutaraji


Hizi ni baadhi tu ya sababu, wataalamu wa afya wanaufahamu mkubwa.
Haya ni katika kukufahamisha ili uelewe hii ni hali ya kibinadamu


Ushauri wangu, kwanza unatakiwa uwe sehemu ya suluhu ya tatizo.
Mahusiano yanakutanisha watu wawili wenye maumbile, haiba, hulka tofati n.k.


Sijui kama ungekuwa na `tango, mchicha au kibamia` akakimbia ungejisikiaje`(kwa hisani ya JF)
Msaidie katika kutafuta ushauri na kama ameshahangaika awe muwazi kwako ili mjue tatizo linawezaje kushughulikiwa


Ni mapema mno kukata tamaa au kupaniki.
Hayo ndiyo mapenzi yanakuja na vibahasha. Muhimu ni moyo wako


Nimalizie kwa kukuuliza, hivi mngefunga ndoa na baada ya siku 3 akagunduliwa na tatizo la figo moja, ungefanya nini

Wenye mji nisitini nipo njiani naelekea JLS


Ahsante

 
Nyie vijana mnadhania ndoa ni maigizo? Ngoja siku ulalie mkojo wa damu uite fire kabisa!
 

Ubarikiwe mkuu ushauri wako umepokelewa
 

Ndio maana mkaambiwa msiikaribie zinaa, mmezini ikisha unakuja kumdhalilisha JF.Hivi kwani ndoa haziwezi kudumu kama watu hawajazini kwanza? Hivi huyo demu angekuwa mke halali ungekuja JF kuomba ushauri wa kumuacha?
 
Aaah! Hilo tatizo dogo tu. Angejisaidia haja kubwa tungesema 'wameshamfumua marinda' Nadhani atakuwa na tatizo la nervous sytem kiasi kwamba ubongo unashindwa kukontrol vizuri sphincter muscles. Jaribu kuwaona madaktari watakusaidia...
 
Ndio maana mkaambiwa msiikaribie zinaa, mmezini ikisha unakuja kumdhalilisha JF.Hivi kwani ndoa haziwezi kudumu kama watu hawajazini kwanza? Hivi huyo demu angekuwa mke halali ungekuja JF kuomba ushauri wa kumuacha?

mkuu nadhani uko kiroho zaidi lakini ukiongelea kimwili hivi ninahaja gani nisubiri kuzini na mpenzi wangu eti nisubiri siku ya ndoa wakati tiyari amebikiriwa na watu wengine?kumbe unataka uniambie huu ni mpango wa shetani kuyajua haya ya mpenzi wangu kabla ya ndoa
 
Aaah! Hilo tatizo dogo tu. Angejisaidia haja kubwa tungesema 'wameshamfumua marinda' Nadhani atakuwa na tatizo la nervous sytem kiasi kwamba ubongo unashindwa kukontrol vizuri sphincter muscles. Jaribu kuwaona madaktari watakusaidia...

ubarikiwe mkuu
 
Ni mambo ya kawaida,hoja ya msing ukiwa naww amekojoa mara ngap?!?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…