Mpenzi wangu amejisaidia haja ndogo kitandani, kumuuliza akasema ni bahati mbaya

Usiku nliota niko washroom nakojoa meamka mkojo umenibanaa nakurupuka kukagua kitanda km nilishaanza kukojoa hapo,thanks God sikukojoa ndotoni,mana ishawahi nitokea na utu uzima huu,nlikua nmechokaa af nkanywa maj mengi Usiku niliota nipo toi nkakojoa kitandan nastuka mkojo unaishiaa ahhh nilijiskia vibaya sana
 
pole mkuu, huwa inatokea hata mimi kuota lakini sijawahi kojoa kitandani sasa kwa yule anayekojoa moja kwa moja hapo ndipo nashangaa
 
Back
Top Bottom