Mpenzi wangu amenibadilisha sana

Mpenzi wangu amenibadilisha sana

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nilikuwa sijui kuoga wala kuvaa, ila amenipenda hivyo hivyo na sasa najua kuoga na kuvaa.

Nilikuwa na lala njaa, ila akanipenda hivyo hivyo na kunipatia chakula, sasa tunashiba.

Wengine walimuuliza unampendea nini huyu fukara ambaye hawezi hata kuhonga mia mbili? yeye aliwajibu, ni mapenzi tu, huyu ndio chaguo langu.
w2.jpg

Baada ya kuanza kung'ara, masista duu wanaanza kunipigia miluzi; Nami ninawajibu, siwataki nyie, nipo na malkia wangu aliyenitoa kwenye shida, na sasa ni wakati wetu kung'ara.
w3.jpg

Popoto tuendapo, lazima tuwe wawili wawili.
Hapa sing'atuki ng'ooo.

Nyie mnaotanguliza hela kwenye mahusiano, tengenezeni wa kwenu.​
 
Ushamba huo.

Hata ugali huhitaji mboga saba na zaidi.

Hakuna mapenzi duniani

Ni ngono tu na illusion za kijinga.

FANYA NGONO. MAPENZI MWACHIE SHETANI
Sasa hapo si mpaka uwe na hela?
 
Back
Top Bottom