Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..

Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?

images

Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..

Hivi unajielewa kweli Mkuu?

Kapata scholarship, ulitegemea aendelee kukaa hapa ili ujue kwamba anakupenda?

Siyo akublok tu, akutumie na simu ya panya unywe ufe.
 
Yani mahusiano ya mwezi tuu yanakutesa, hata kupendana mlikuwa bado kabisa.

Sema nahisi utakuwa umepigwa tukio wewe😅😅..... Vipi kakupiga M ngapi mkuu?
Hahaha kaka sijapigwa pesa bwna sema Nini Mchumba kwangu ndo alikua wa kwanza kimapenza yaani nilimtoa bk mwenyewe .. ila ghalfa mambo yamechange yaani joh
 
Acha uboya wewe tafuta mtu mwingine maisha yaendelee, nyie mnakwama wapi jamani haya mambo hayalazimishwi
 
Poa kama umenielewa piga mbishe zako tafuta pesa utapata pisi kali tu , ziko nyingi tena brain zinamalizaga vyuo na hazina ishu wala nini tena umwadisie kabisa kuna mtu alikuzingua utapata raha utakuja kunishukuru
Kaka asante sana
 
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..

Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?

images

Acha kulia lia saiv huna chako tafuta pesa kijana, Nenda nchi aliyopo tafuta rafiki ake wa karibu kabisa anaelipa kumzidi yeye au kama ana mdogo wake kisu pia sawa tu anza kula ikiwezekana weka ndani kabisa, pia kwenye kadi ya harusi usimsahau huyo x girlfriend wako...

Nimemaliza, majibu utayaona mwenyewe tu wakati huo wewe huna time nae tena.
 
Kwahiyo akikupenda asiende hata kusoma kwa ajili yake na familia yake abaki akupeti peti

We jamaa humtakii mema mwenzi wako.
 
15668 Tigo inakuletea hadithi mpya ya NDANI YA NDOA, NJE YA NDOA. Jiunge leo BURE kwa kutuma HADITHI 15A kwenda 15668, Siku ya 2 kutozwa Tsh 150/siku au piga 090166xxxxxx
 
Acha kulia lia saiv huna chako tafuta pesa kijana, Nenda nchi aliyopo tafuta rafiki ake wa karibu kabisa anaelipa kumzidi yeye au kama ana mdogo wake kisu pia sawa tu anza kula ikiwezekana weka ndani kabisa, pia kwenye kadi ya harusi usimsahau huyo x girlfriend wako...

Nimemaliza, majibu utayaona mwenyewe tu wakati huo wewe huna time nae tena.
Ana rafk yake mmoja mkali kinoma kwahiyo unanishauri nipite nae au sio!?
 
Back
Top Bottom