Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

Wewe pia tafuta scholarship umfuate huko, huko, dawa ya moto ni moto.
 
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..

Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?

images


Ni bora uwe na Man utd kuliko uyo mpenz wako
 
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka mkuu.
Eti sa anataka nini tena kinachomtisha abroad au? Mfano kuna mwanamke nimempata last month Wote tupo dar sasa bwana nlivyokuwa daslama mapenz yalikuwa moto kweli kweli, nimesafir kikaz wik tatu tu msg zangu anajibu kwa mbaali, akipokea simu anasema atanicheki na wala hanichek, jana kaomba vocha nimetuma muda huo huo kazima simu na had muda huu hajashukuru wala nini(THAT IS DISRESPECT), yote haya ni sababu sijamkaza, wanawake weng kabla hujawala wana wanaume zao maX walowala wana flit nao so basically wanasumbua sana anyways kwakuwa nna experience na game wala sijisumbui kumuuliza, na simwambii kama nimemwacha na sitapiga simu ila akipiga ntapokea na ntajibu vizuri tu, akiomba tuonane ntaonana nae bila kinyongo ila hatutaongelea mapenz na akiomba hela kama anavyofanyaga simpi na akija maskani simli vile vile kuonyesha kwamba her pussay is not that all watu wengine tunatakaga RESPECT...

Kwahiyo huyu jamaa akaushe tu kama mimi nipo Tz hapa hapa naonekana hamna je aliekuwepo nje itakuwaje?...wanawake/wanaume regardless wameoa au kuolewa wakiwa nje wanakuwaga lonely sana wanaweza kutoa mbwa/kutoaamba na mtu yeyote tena mkikutana wote waTZ ndio hatari....wake za watu wanatoa sana mimba huko abroad mkuu. Tafuta mwanamke mwingine Tanzania especially daslama kuna watoto wazuri na wanajua kusikiliza maelekezo huyo chakaram mwache kwani nini bwana KAKUBLOCK MANAKE HAKUTAKI
 
Back
Top Bottom