Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

Hata wewe unahitaji mwanaume. Hamia geto kwangu.
 
Hata wewe unahitaji mwanaume. Hamia geto kwangu.
Kaka unaonekana ulishawah kufanyiwa kinyume na maumbile .. pole walikubaka hawawez kurudi Tena , najua unatafuta mtu wa kumlipizia kisasi , pole sana kubali tu ushapumuliwa kisogoni na mwanaume mwenzako Dahhh pole sana mjuba
 
Nicheki 0692507838.

Naitwa Saidi
 
PANDA MNAZI KWA MKONO MMOJA.../

ngoja kwanza.[emoji117]NUNUA CARTOON YA BABY CARE..
 
Mkuu umekosa vitu iv
Care
Attention
Smart
Honestly

CASH [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kashakutana na 'mijengelele' ya Wapopo...we fanya kumsahau tu
 
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..

Mwache aende maadamu hajahama dunia maana ya kufa atarudi tu niamini, hawa viumbe wana jisahau sana. Wewe tafuta mwingine oa, mbona wao ni wengi kuliko sisi wanaume.
 
Kama huo mkono ulioshika sim ndio wewe, basi minaona nisawa tu hata akikuacha kabisa...🤣
 
Back
Top Bottom