HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 218
Hapo ndio chanzo cha matatizo uliyonayo kwa sasaNifanyeje wanazengo na bado nampenda?
Hivi unajielewa kweli Mkuu?Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..
We jamaa huna Hata huruma 🙄Hivi unajielewa kweli Mkuu?
Kapata scholarship, ulitegemea aendelee kukaa hapa ili ujue kwamba anakupenda?
Siyo akublok tu, akutumie na simu ya panya unywe ufe.
Dahhh Aya. Bwnaa maana watu wa humu Muna methali loohFimbo ya mbali haiuwi nyoka mkuu.
Kwahiyo nimpotezee au nimsubiri !?Hapo ndio chanzo cha matatizo uliyonayo kwa sasa
Hela zinatafutwa broTatizo huna hela
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii
Hahaha kaka sijapigwa pesa bwna sema Nini Mchumba kwangu ndo alikua wa kwanza kimapenza yaani nilimtoa bk mwenyewe .. ila ghalfa mambo yamechange yaani johYani mahusiano ya mwezi tuu yanakutesa, hata kupendana mlikuwa bado kabisa.
Sema nahisi utakuwa umepigwa tukio wewe😅😅..... Vipi kakupiga M ngapi mkuu?
Sawa janja weed nakuli Mzee babaAcha uboya wewe tafuta mtu mwingine maisha yaendelee, nyie mnakwama wapi jamani haya mambo hayalazimishwi
Poa kama umenielewa piga mbishe zako tafuta pesa utapata pisi kali tu , ziko nyingi tena brain zinamalizaga vyuo na hazina ishu wala nini tena umwadisie kabisa kuna mtu alikuzingua utapata raha utakuja kunishukuruSawa janja weed nakuli Mzee baba
Kaka asante sanaPoa kama umenielewa piga mbishe zako tafuta pesa utapata pisi kali tu , ziko nyingi tena brain zinamalizaga vyuo na hazina ishu wala nini tena umwadisie kabisa kuna mtu alikuzingua utapata raha utakuja kunishukuru
Acha kulia lia saiv huna chako tafuta pesa kijana, Nenda nchi aliyopo tafuta rafiki ake wa karibu kabisa anaelipa kumzidi yeye au kama ana mdogo wake kisu pia sawa tu anza kula ikiwezekana weka ndani kabisa, pia kwenye kadi ya harusi usimsahau huyo x girlfriend wako...Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..
Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?
Ana rafk yake mmoja mkali kinoma kwahiyo unanishauri nipite nae au sio!?Acha kulia lia saiv huna chako tafuta pesa kijana, Nenda nchi aliyopo tafuta rafiki ake wa karibu kabisa anaelipa kumzidi yeye au kama ana mdogo wake kisu pia sawa tu anza kula ikiwezekana weka ndani kabisa, pia kwenye kadi ya harusi usimsahau huyo x girlfriend wako...
Nimemaliza, majibu utayaona mwenyewe tu wakati huo wewe huna time nae tena.