Mpenzi wangu ana uke mkubwa ila bado nampenda

Mungu alituumba wanadamu ktk maumbile tofauti, nakushauri kwanza usimwache,pili sema nae taratibu yakuwa mkawaone wataalamu wa viungo hivyo kwenye hospital, na uumpe moyo kwa hilo lililopo naamini mtafika mahala mtakubaliana na lililopo na kuendelea vyema ktk maisha yenu, Mungu awabariki sana na kuwa jaalia kila lililo jema ktk familia yenu.
 
kula shimo dogo mkuu..
 
Ni mke??? Kuwa na mke ni zaidi ya tendo la ndoa. Una faida gani kumpata anayekuridhisha kimapenzi ila sio mtu wa kukufaa katika aspect zingine, mf mwenye roho mbaya, mgomvi, mzinifu nk, be sincere to your heart, mpende na umbebee mapungufu yake. After all, ni maumbile yake, Mungu ndio alimgawia hicho, huenda hata yeye linamtesa, beba udhaifu wake na ubarikiwe pamoja nae.
 

Kwahiyo mimi kukojoa nitasikia kwenye redio
 
Tanga hilo sio tatizo tena, yuko wapi kwasasa huyo mpenzi wako?
Atembelee Tanga tatizo litaisha.
 
Fanya mpango pale Muhimbili siku hizi wanapunguza K kubwa na kuirudisha iwe mnato kwa raha zako. Pumzi yako tu.
 
Amewahi kuzaa?
Mwambie awe anafanya mazoezi ya kegel na akikaa asiwe anapanua miguu pia awe ana nawa na maji baridi, kuwa na k kubwa ka beseni aibu aisee
hivi kumbe viumbe na namna hii wapo
 
Yah ana mtoto mmoja. Nitamwambia hayo mazoezi afanye ila swala kabeseni mimi sioni kama ni aibu kwani ni maumbile.
Seriously namweoneaga huruma sana ndo mana nataka kumsaidia. she is beautiful and very wise lakini ndi hivyo kwakweli
kaka hongera kweli umependa aisee...pamoja na vijembe vyote bado umekaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…