BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Mwanamke kujipenda imekuwa nongwa huu ndio umasikini wa fikraNimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
AhaaKuna mmoja nilimuacha baada ya kutaka anunuliwe kiatu cha 16 wakati mtafutaji Nina viwili kimoja kimechanika nikamwambia subiri me enyewe Sina viatu week hii nataka nunua changu kimoja akakataa kmkkke nikapiga ya mwsho nikamuacha
Huyo anakudanganya hapendi kupika siyo kama hana uwezo wa kununua gesi.Nguo ziendane na mahitaji mengine hapo jiko lake halina gesi wiki nzima,
We una pair ngapi mamaMwanamke kujipenda imekuwa nongwa huu ndio umasikini wa fikra
Usinge-ji social distance kwake Mkuu, Ningekuwa mimi ningefungua biashara ya mitumba kimyakimya. Nawagawia machinga kidogokidogo. Hiyo ilikuwa fursa na siyo changamoto😆Hizo sijahesabu ila hazipungui 290
Wewe ni genius kama RutoUsinge-ji social distance kwake Mkuu, Ningekuwa mimi ningefungua biashara ya mitumba kimyakimya. Nawagawia machinga kidogokidogo. Hiyo ilikuwa fursa na siyo changamoto😆
Haijalishi nani kanunua huyo sio size yanguKwani hivo vitu ulinunua ww au ulimkuta navyo.
Mimi sio mama mkuu I'm Man na kuhusu pair njoo ghetto usihesabu.We una pair ngapi mama
Mkuu hizo nguo na viatu na mawigi alinunuliwa na wanaume kama wewe...sasa wewe umeambiwa gesi ya Tshs 50,000 tu inakufanya "usande"!Nguo ziendane na mahitaji mengine hapo jiko lake halina gesi wiki nzima,
hayo ni manguo tu unaogopa,hivi uko sawa kweli.Haijalishi nani kanunua huyo sio size yangu
Kwenye budget zake pesa ya lunch haipo so hajakudanganyaTulikutana kazini ajabu kila siku anasena hana hela lunch lazima akupige mzinga
Akili za waafricaMtu alikuwa anapata zero Hadi kwenye sanaaa,!
Unakuta sahizi kavalisha kichwa wingi la laki mbili na nusu!
Haya sio matumizi mabaya ya fedha kweli,!!?