Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.

Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Mwanamke kujipenda imekuwa nongwa huu ndio umasikini wa fikra
 
Kuna mmoja nilimuacha baada ya kutaka anunuliwe kiatu cha 16 wakati mtafutaji Nina viwili kimoja kimechanika nikamwambia subiri me enyewe Sina viatu week hii nataka nunua changu kimoja akakataa kmkkke nikapiga ya mwsho nikamuacha
 
Ahaa
 
Back
Top Bottom