BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Mwanamke kujipenda imekuwa nongwa huu ndio umasikini wa fikraNimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.